Kiumri kwako siyo faza.Mkuu mbona me nakuheshimu sana ukizingatia ww ni senior, kiumri inawezekana ukawa ni faza kwangu.
kwann unafanya vitu ambavyo haviendani na ww ulivyo, kuna wale watu ambao huwa nawaona hapa JF kuna picha flani nakuwa nimeitengeneza jinsi walivyo kuanzia muonekano hadi haiba zao nakiri wazi umenidissappoint sana kwenye hili imekua tofauti na ninavyokuona kupitia reactions zako kwenye threads tofauti.
Hivi ni kweli kijana wako unaweza kumpa ushauri hasi kama ulivofanya?
Au, kuelezea changamoto ninayopitia nimekukosea mkuu?
Umenikosea sana mzee wangu,
Changamoto ipo hapa bossSalaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni kulitokea kutokuelewana kati yetu sisi, ikapelekea kusiwe na mawasiliano mazuri.
Baada ya kutokea mgogoro huo mdogo, kuna pisi nyingine nikawa na miadi ya kukutana nayo sasa kitu cha ajabu ni kwamba nilishindwa kusimamisha pindi nilipokua na huyu bibie mwingine, ambaye sio mara ya kwanza kushiriki naye sex.
Haikuishia hapo, mimi nina kawaida ya kusimamisha mara kwa mara, haijalishi nimekaa, natembea au nimelala huwa nasimamisha...sasa kwa hizi siku mbili hali imekua tofauti sana.
Muda mwingi mjeshi anakua hasimami ipasavyo, na ikitokea amesimama ni kwa unyonge tofauti na kawaida.
Kuna muda nafikiria huenda huyu bibie ambae nimepishana nae kuna namna amefanya, au inatokea tuu, binafsi hii hali haijawahi kunitokea kabla.
Au pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Nafanya mazoezi mara moja kwa wiki(weekend).
Ila kegel na mazoezi madogo kama push-up nafanya karibu kila siku.
Ndugu zangu, brothers na wazee wangu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii changamoto ninayopitia nimekua na stress sana... shukrani.
Karibuni sana wanajamii
Mkitekwa muanze kuwasumbua wananchi.Kiumri kwako siyo faza.
Nimekuacha miaka 6 tu. So wewe ni mdogo wangu.
Na ndugu kutaniana ni sawa.
Hivyo tafuta mume uolewe
Kwamba jamaa atakasirika aje aniteke kisa hii? Mbona kitu kidogo hikiMkitekwa muanze kuwasumbua wananchi.
Watu wana stress zao mkuuKwamba jamaa atakasirika aje aniteke kisa hii? Mbona kitu kidogo hiki
wewe ni tinganyaSalaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni kulitokea kutokuelewana kati yetu sisi, ikapelekea kusiwe na mawasiliano mazuri.
Baada ya kutokea mgogoro huo mdogo, kuna pisi nyingine nikawa na miadi ya kukutana nayo sasa kitu cha ajabu ni kwamba nilishindwa kusimamisha pindi nilipokua na huyu bibie mwingine, ambaye sio mara ya kwanza kushiriki naye sex.
Haikuishia hapo, mimi nina kawaida ya kusimamisha mara kwa mara, haijalishi nimekaa, natembea au nimelala huwa nasimamisha...sasa kwa hizi siku mbili hali imekua tofauti sana.
Muda mwingi mjeshi anakua hasimami ipasavyo, na ikitokea amesimama ni kwa unyonge tofauti na kawaida.
Kuna muda nafikiria huenda huyu bibie ambae nimepishana nae kuna namna amefanya, au inatokea tuu, binafsi hii hali haijawahi kunitokea kabla.
Au pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Nafanya mazoezi mara moja kwa wiki(weekend).
Ila kegel na mazoezi madogo kama push-up nafanya karibu kila siku.
Ndugu zangu, brothers na wazee wangu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii changamoto ninayopitia nimekua na stress sana... shukrani.
Karibuni sana wanajamii
Umepima sukari na pressure ikoje? Kama viko normal huenda ni stress za mgogoro tu.Changamoto ipo hapa boss
pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Sio mimiUmepima sukari na pressure ikoje? Kama viko normal huenda ni stress za mgogoro tu.
Salaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni kulitokea kutokuelewana kati yetu sisi, ikapelekea kusiwe na mawasiliano mazuri.
Baada ya kutokea mgogoro huo mdogo, kuna pisi nyingine nikawa na miadi ya kukutana nayo sasa kitu cha ajabu ni kwamba nilishindwa kusimamisha pindi nilipokua na huyu bibie mwingine, ambaye sio mara ya kwanza kushiriki naye sex.
Haikuishia hapo, mimi nina kawaida ya kusimamisha mara kwa mara, haijalishi nimekaa, natembea au nimelala huwa nasimamisha...sasa kwa hizi siku mbili hali imekua tofauti sana.
Muda mwingi mjeshi anakua hasimami ipasavyo, na ikitokea amesimama ni kwa unyonge tofauti na kawaida.
Kuna muda nafikiria huenda huyu bibie ambae nimepishana nae kuna namna amefanya, au inatokea tuu, binafsi hii hali haijawahi kunitokea kabla.
Au pengine ni uzito unachangia kuwa hivi, Nina 26 yrs, 104 kg na urefu ni fut 6.
Nafanya mazoezi mara moja kwa wiki(weekend).
Ila kegel na mazoezi madogo kama push-up nafanya karibu kila siku.
Ndugu zangu, brothers na wazee wangu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii changamoto ninayopitia nimekua na stress sana... shukrani.
Karibuni sana wanajamii
Unatuona kama matako yako. Uwe na kg 104 kwa huo umri halafu uwe uwezo wa kupiga pushup? Tatizo mods tukiwaambia waamke jf inaelekea kuwa facebook wanapotezeaSalaam ndugu zangu wana JF.