Askari wana madai yao!

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
230
1,000
Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.

Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.

Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.

Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.

Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform

Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,927
2,000

Na wao hasa Jeshi la Polisi wajiongeze. Ni Jeshi hovyooo linalohitaji kusukwa upya. Haliheshimiki.
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,336

Weka I'd yake tufanyie kazi
 
liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
815
500

Heee
 
Reykijaviki

JF-Expert Member
Aug 25, 2020
225

Wewe ni askari acha kutubabaisha mambo ya vyeo, mishahara, Likizo, nyumba nk pambaneni na ujinga wenu! Watetezi wenu mnawapiga mabomu ya machozi unakuja kulialia hapa nenda kapige kura 28/10/2020 kama mtapenda kuendelea naye aliyewanyang'anya maduka yenu na posho zenu, shauri yenu.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,286
2,000
Nimekutana na Askari mmoja tulisoma wote primary miaka 1995, katika mazungumzo akanidokeza kwamba alifanikiwa kujiendeleza na Sasa Ni graduate kwa miaka minne Sasa ila analipwa nakutambulika kama sejini. Kumuuliza kwanini akasema wamewabania kuwapandisha na hata kutambua elimu zao. Anatamani uchaguzi huu ukamlete mtu anayeweza kuwatetea wasikae Tena miaka mitano bila elimu zao kutambulika wala kulipwa.

Jambo la pili akasema, anatamani Askari waache kujinunulia na kushona uniform kwa gharama zao wenyewe. Kipindi Cha nyuma walikuwa wanashonewa uniform ila Sasa hivi wameachwa wajitaftie wenyewe. Ana kiu yakuona thamani yao nakuwapa stahiki zao.

Jambo la tatu, nyumba hazitoshi na wanaokaa uraiani awalipiwi Kodi ya nyumba. Umeme maeneo mengine wanajinunulia tofauti na huko tulikotoka...akitokea wakuwasemea atampa kura.

Nilipomuuliza kwanini Wana changamoto lukuki lakini azitamkwi popote akasema wanatii bila shuruti. Lakini pia malipo mengi yanajadiliwa Bungeni ila ukweli hawalipwi.

Wanasiasa wasaidieni walinzi wenu, tungependa muwe mnasikiliza waache kulalamika mtaani na kwenye vijiwe, waache kutusimamisha na magari nakuchukua elfu mojamoja... graduate kuchukua rushwa ya elfu moja Tena mlinzi wa Mali zetu nadhani nikutaka apate pesa yakulisha familia na kushona uniform

Siku zilizobaki waelezeni mtawasaidiaje?
Ndio maana Wana msongo mkubwa wa mawazo,ukiaangalia wale waliovamia ofisi ya Mhe Matiko,na kumkamata mlinzi wake Kama jambazi,wacha wasulubiwe,
Kwanini wao walipiwe Kodi,mbona walimu,madakitsri na watumishi wa kada nyingine hawalipiwi?
 
6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
254

Mwaka gani alimaliza bachelor?
 
rip faza_nelly

JF-Expert Member
Feb 19, 2018
3,390
2,000
Ndio maana Wana msongo mkubwa wa mawazo,ukiaangalia wale waliovamia ofisi ya Mhe Matiko,na kumkamata mlinzi wake Kama jambazi,wacha wasulubiwe,
Kwanini wao walipiwe Kodi,mbona walimu,madakitsri na watumishi wa kada nyingine hawalipiwi?
Punguza pupa, katika maisha yako umewahi kusikia kuna kambi ya walimu au madaktari!?
Wanatakiwa walipiwe sababu Askari yoyote anatakiwa kukaa kambini sio kupanga uraiani. Anapopanga uraiani basi serikali inawajibika kumlipia Kodi zote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom