Ilikuwa ni gari moja tu?
Wale waliotuhumiwa kwa ugaidi kipindi kile, ambao kwa sasa wameachwa huru, msafara ulikuwa na sifa ule, mbele, nyuma, masilaha, askari wamefunika uso, ilimradi tu ugaidi uonekane!
Sio mbaya lakini, utawala huu nasikia uko tofauti.