Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,771
- 165,405
Watakuwa walitolewa na Yeye Asiyepangiwa!!Maswali:
1.Mkuu wa mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Wala sitashangaa kama itakuwa ni kweli.Inasemekana ni walinzi wa makazi ya sizonje,alitoka nao huko
Nafikiri ni wale wa usalama wa taifa ambao hulinda ikuluMaswali:
1.Ukiacha askari Polisi wa kawaida,Mkuu wa Mkoa ana mandate na majeshi yetu?
2.Kama hana mandate,Wanajeshi wale alipewa kwa amri ya nani na kwa kazi gani?
3.Au Mkuu wa mkoa nyumbani kwake analindwa na wanajeshi na ndio hao siku ile aliamua kuambatana nao?
Naomba uchunguzi unaofanywa(kama ni uchunguzi kweli ni si geresha) uje na majibu kuhusu wale askari ilikuwaje wakafuatana na Makonda na taarifa ya uchunguzi ituambie kama wale si wanajeshi basi ni askari wa Jeshi gani la nchi hii au ni kutoka chombo gani cha ulinzi kinachotambulika kisheria hapa nchini.
Kwahiyo aliwachukuwa walinzi wa idara ya usalama wa Taifa?Wale sio wanajeshi, ni wale wa kaunda suti na wenyewe huwa wanavaa magwanda ya rangi ya kijivu. Ukipita pale makumbusho jaribu kuchungulia pale utawaona.
Ikulu si wanalinda FFU? Au wamebadiri?Nafikiri ni wale wa usalama wa taifa ambao hulinda ikulu