Askari wafichua ufisadi katika Jeshi la Magereza

Askari wafichua ufisadi katika Jeshi la Magereza

Mie napendekeza Prof.Ndalichako awe mkuu wa magereza huyu mama mbunifu sana. Lazima tufikiri nje ya box sio lazima mkuu wa magereza awe askari, tubadili kutoka sehemu ya mateso na kuwa chuo cha kufundisha nidhani na stadi za kazi.
 
Hongera CGP kwa
utumishi uliotukuka karibu nyumbani kijitonyama/makumbusho
 
Mara nyingi Magu huwa anasema "Kazi hii ngumu, niombeeni" nilikuwa simuelewi kabisa ila sasa ndio naelewa. Askari anajinunulia uniform, daaah.
Magufuli bado ana kazi pevu sana
 
Back
Top Bottom