Askari wa usalama barabarani wakimpiga raia

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya

kisheria sijui limekaaje wakuu?
 
Tueleze kwanza jamaa kafanyeje ndo uulize sheria zinasemaje. Traffic Mao ni law enforcers endapo mkosaji alifanya au kuwafanyia kitu ambacho ni ukiukwaji Wa sheria na ni jeuri, lazima nguvu itumike.
264
 
Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya

kisheria sijui limekaaje wakuu?
Hakuna sheria ya kupiga mtu hata kama amevunja sheria kabla ya kuhukumiwa. Naona askari nao wanajichukulia sheria mkononi...hapo watakuwa wameshindwana hoja tu lazima..
 
Tueleze kwanza jamaa kafanyeje ndo uulize sheria zinasemaje. Traffic nao ni law enforcers endapo mkosaji alifanya au kuwafanyia kitu ambacho ni ukiukwaji Wa sheria na ni jeuri, lazima nguvu itumike.

Hata law enforcers hawaruhusiwi kumpiga Raia.. Huyu Askari kwa kosa hilo ni criminal crime ambapo anatakiwa kufikishwa mahakaman kujib mashatka ya kumshambulia Raia.. Gari lake ni STJ 1062 kazi ni kwao wenye mamlaka
 
Hao jamaa kero sana..wenyewe ndiyo wakamataji wenyewe ndiyo mahakimu wenyewe ndiyo watoa adhabu...yani mtu anakukamata anakuambia umepita kwenye redi light wakati wewe kama dereva uliona njano but kutokana na situation ukashindwa kusimama..but mwisho wa siku anakuambia umepita red light..
 
Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya

kisheria sijui limekaaje wakuu?

Katika hili sipendi kuwa ' Mnafiki ' kwa Kupepesa macho, Kutikisa masikio na Kuyamung'unya maneno kwa kusema kwamba Watumiaji wengi wa Magari wanapenda sana ' Kuwadharau ' Askari barabarani na kuna muda mwingine utakuta Mtu kabisa anatoka ' maskani ' anakuambieni kuwa leo naenda kuwazingua ' Matrafiki ' na akitiimiza hilo anarudi na kuanza kuwacheka na kuwadhihaki.

Najua kwamba wapo ' Matrafiki ' wanaozingua ila kwa jinsi hivi sasa wanavyosimamiwa vyema na Wakubwa wao na Jeshi lao na Sisi tunaopita na kukutana nao barabarani kila uchao huku tukishuhudia mengi ni dhahiri shahiri kwamba Wamiliki wengi wa Magari huwafanya vitendo vya makusudi dhidi yao na pia kumbukeni kuwa hata Wao pia ni Binadamu na wana mioyo vile vile. Tukijiheshimu na kufuata taratibu zote za matumizi ya Magari na Usalama wa Barabarani nina uhakika hizi adha / kero zitapungua kama siyo kuisha kabisa.

Kwa mfano unakuta Mtu kabisa anaona barabara imefungwa kwa muda tu ili kupisha Msafara wa Kiongozi wa Kitaifa kupita hapo halafu unaona Mtu kabisa kwa makusudi analichomeka Gari lake ' Kiubishi ' ili tu apite kwa nia ya kuiwahi huo Msafara halafu ile akitokeza tu barabarani hapo anakutaka na Pikipiki ya Polisi ya Msafara nayo ikiwa Kasi na pengine hata kuhatarisha Usalama wake na wa yule Kiongozi anayepitishwa. Hivi kwa ' scenario ' kama hii hao ' Matrafiki ' wakikupa mkong'oto wa haja utawalaumu?

Tuwe tunatafakari kabla ya kulaumu au kuwatupia Watu lawama.
 
Kwa hiyo mahakama zimewekwa za kazi gani wewe mtu?
 
Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya

kisheria sijui limekaaje wakuu?

Hivi unajua mtu anayepigwa anapigwaje???

Umeshawahi kuona mtu anatandikwa wewe???

Huyo mtu amepigwa,au anavutwa vutwa shati??

Huyu hajapigwa labda hujui mtu anapigwaje???
 
Back
Top Bottom