Askari wa USA auawa kule Kherson

Askari wa USA auawa kule Kherson

Angefanya mambo makubwa Dunia nzima ingetangaziwa kuwa Marekani mmoja kaua Warusi 500 peke yake.
Nae angeitwa shujaa wa USA.
Leo kafa tunaambia amekuja peke yake kwa hiari yake.
Mambo makubwa kama yapi? Maana retired individuals wako kibao. He is not thr only one
 
Retired actualy, kuwa trained sio tatizo, hizo ni skills tu, ameenda kwa ridhaa yake. Akijua outcomes. So hamna cha ajabu
Mkuu dogo ana miaka 21 wala sio veteran soma article acha uvivu😂😂😂
 
yaan mna uzomb wa Hali ya juu sasa unaeza taja makolon ya Zelensk au NATO ? kama Urusi anavyoyatawala east Moldova , Kalingard na Crimea pia majimbo ya Donetsk etc
Hayo majimbo kama hujui kayachukua kimkakati na wenyewe hata hawalalamiki ila wewe wa mchambawima, umeshawahi kusikia wakiandamana? Au kulalamika hata magazetini? 😂😂
 
Back
Top Bottom