Askari wa USA auawa kule Kherson

Askari wa USA auawa kule Kherson

Pale wamebaki snipers ,Ukraine watapukutika hawata amini kama Russia kaondoka ama LA
halafu wanajiita veteran wakati NATO active
3312.jpg
 
Is not about age. Watu kama hawa huwa wanaenda wenyewe lakin si kwa baraka za nchi yao. Amekuja at his own risk akijua anachokuja kupigania.
Angefanya mambo makubwa Dunia nzima ingetangaziwa kuwa Marekani mmoja kaua Warusi 500 peke yake.
Nae angeitwa shujaa wa USA.
Leo kafa tunaambia amekuja peke yake kwa hiari yake.
 
Angefanya mambo makubwa Dunia nzima ingetangaziwa kuwa Marekani mmoja kaua Warusi 500 peke yake.
Nae angeitwa shujaa wa USA.
Leo kafa tunaambia amekuja peke yake kwa hiari yake.
Hawakubaligi hawa 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom