RIP hayo yote yataisha endapo tu utakuwa na katiba mpya.juzijuzi tu kama sikosei kiongozi mkubwa alitamka ng'ombe wakishikwa hifadhini wasitaifishwe wala kutozwa faini leo hii imekuwaje wananchi kuchukua sheria mikononi mwao.hapa napata picha kuwa yale yalikuwa matamshi yasiyo tekelezeka ndiyo maana wananchi hao wamepata hofu kuwa mifugo yao itapokonywa/kutaifishwa.sitetei vurugu bali natetea mabadiliko makubwa ya kimfumo,kisheria nk yafanyike.View attachment 3674339
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini mkoani humo.
Katika taarifa ya jeshi la polisi mkoani humo ambayo imetolewa kwa umma Septemba 19, 2026, imesema kuwa wananchi hao walifanya uvamizi huo wakiwa na silaha za jadi wakishinikiza wapewe mifugo yao iliyokamatwa.
Kadhalika, inaelezwa kuwa tukio hilo pia limesababisha majeruhi ya watu watano, huku silaha ya kivita aina ya AK47 pamoja na gari aina ya Toyota Land Cruiser kuchomwa moto.
Vitisho siyo suluhu ya jambo hilo kwani serikali ikilipiza itachochea chuki kubwa zidi yake.suluhu kufanya rejea ya sheria zetu.Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Kutafuta kiini cha tatizo/mgogoro ndiyo suluhisho la kweli badala ya hilo gharika lenu kuu, ambalo halitaleta mabadiliko yoyote.Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Unaona raha hapo mwenyewe??Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Mimi nawahurumia tuUnaona raha hapo mwenyewe??
Mxxxiiiieeew
Usije kuyaamini matamko ya kisiasa wanatamka jukwaani bila kuandaa waraka wa utekelezajiRIP hayo yote yataisha endapo tu utakuwa na katiba mpya.juzijuzi tu kama sikosei kiongozi mkubwa alitamka ng'ombe wakishikwa hifadhini wasitaifishwe wala kutozwa faini leo hii imekuwaje wananchi kuchukua sheria mikononi mwao.hapa napata picha kuwa yale yalikuwa matamshi yasiyo tekelezeka ndiyo maana wananchi hao wamepata hofu kuwa mifugo yao itapokonywa/kutaifishwa.sitetei vurugu bali natetea mabadiliko makubwa ya kimfumo,kisheria nk yafanyike.
Acha inyeshe.Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Pole kwa Wafiwa!, ina maana Tawa ndiyo Wanatumia hizo AK 47?. hawa jamaa Kingwangalq alivyokuwa Waziri wao ndiyo aliwapa kiburi, wanauwa sana watu maenep mengi ya nchi hii...Hapo uhasama ushaingia kati ya hizo jamii na hao Tawa...Busara yapaswa kuchukua nafasi.View attachment 3674339
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini mkoani humo.
Katika taarifa ya jeshi la polisi mkoani humo ambayo imetolewa kwa umma Septemba 19, 2026, imesema kuwa wananchi hao walifanya uvamizi huo wakiwa na silaha za jadi wakishinikiza wapewe mifugo yao iliyokamatwa.
Kadhalika, inaelezwa kuwa tukio hilo pia limesababisha majeruhi ya watu watano, huku silaha ya kivita aina ya AK47 pamoja na gari aina ya Toyota Land Cruiser kuchomwa moto.
Siyo suluhu ya changamoto.Wakifanyiwa hivyo,tutegemee mambo hayo kujirudiarudia kama matumizi ya vifaa vya plastiki/recycling.Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Na wananchi watakuja kufanya comeback yao ya hatari kwa muda wao.Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Acha uoga wewe,ni mwendo wakuviziana na jino kwa jino tuu.Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.