Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Askari wa shirika la hifadhi Tanapa katika hifadhi ya Manyara wamemshambulia kwa kipigo baada ya kumgonga na gari la doria, Aidan Andrew(32)mkazi wa mto wa mbu wakidai ameua twiga,
Baada ya kipigo walimpakia kwenye gari lao na kumtelekeza katika hospital ya mkoa wa Arusha Mt Meru.
Kijana huyo ambaye alikumbwa na masahibu hayo majira ya saa 3 asubuhi, desembe 29 mwaka jana, amevunjoka mbavu kadhaa, pia amepasuka kichwa na anahitaji operesheni ya tumbo ili kutoa damu inayovujia ndani ili kuokoa maisha yake
Msemaji wa Tanapa Pascal shelutete ameshindwa kuzungumzia tukio hilo akidai Tanapa haiwezi kuhangaika na sisimizi kama huyo.