Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Askari yeyote kuna kifungu kwenye sheria kina ruhusu kukamata muahalifu
Sio lazima uwe polisi
Hata magereza
Sio lazima uwe polisi
Hata magereza
Umekosea , Suma ina wafanyakazi wanaojielewa sema kuna baadhi yao ni majeshi kunoga yaani IQ yake ipo chini sana.98% hawa jielewi
Mnawalea hao wajinga sana, siku kenge inaitwa sijui suma JKT au askari yeyote akinizingua nitamng'ata sikio niondoke nalo.