Hii ishu ni ya kweli hata mimi nipo hapa ingawaje Serikali hawataki kuitangaza na hata vyombo vya habari vimekaa kimya juu ya hili ingawaje hadi sasa mabaki ya Damu ya marehemu huyo yanaonekana. Askari walimpiga mwenzao baada ya kijana mmoja waliyekua wamempakia katika gari lao kuchupa gari na kuwatoroka, ndipo wakapiga risasi na kumdungua mwenzao. Hawa askari maji yamekua sìngöni na sasa wameanza kuchanganyikiwa na bado watauwanaaa wenyewe!