Halafu imagine, traffic anakamata gari limejaa taka!Ili wapate taka??
Ukibadili dini tu ukawa Muislam unapewa cheo cha usheikh hapo hapo? Muahamed Ally alibadili dini sababu alisema Yesu alikuwa Mkristo hakuelewa kama Mudi naye alikuwa Mweupe japo sio sana...RIP Sheikh Muhammad Ali
Kuna grup la Whatsap lilikuwa linachangisha hela kwa walioguswa na msibaUkibadili dini tu ukawa Muislam unapewa cheo cha usheikh hapo hapo? Muahamed Ally alibadili dini sababu alisema Yesu alikuwa Mkristo hakuelewa kama Mudi naye alikuwa Mweupe japo sio sana...
Ukiwa Muislam na ukaamini kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu basi unaenda motoni... na kwa Wakristo watakao amini kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu wataenda kuishi nae paradiso...
Kazi Mnayo Waislam Koran ndio inawaambia mkiamini basi kwenu ni Motoni... Hell
Mohamed Ally hadi sasa keshatinga Hell
Hizo pesa wanadhania Mohamed ali alikuwa fukara? ndio maana wenzetu wanapeleka Maua tu... Pesa za nini? au za msikiti? Watu ambao huwa National Icon Most of them Goverment huwa zina take care almost kila kitu... Mohamed Ali alikuwa National heroKuna grup la Whatsap lilikuwa linachangisha hela kwa walioguswa na msiba