Askari shoga

Askari shoga

AMINATA 9

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
2,120
Reaction score
642
[h=6] huko zanzibar kulikua na senge askari magereza hahah sasa bwana akaambiwa leo zamu yako kupigisha gwaride basi kama mnavyojua na kisauti chakishoga yule askari akaanza
walahi shooooooooto kuliaaaaaaaaaa
wlahi shotoooooooo kulia
nasema mbeleeeeeee tembeaaaa jamani mbona mko ivo leoooo

hayaaaaaaa nasema kakamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwili legeza jamani nasema tena kakamaaaaaaaaaaaaa
[/h]have a lovely sunday guys me love u all
 
Kwa hiyo askari Magereza ndiyo wanaongoza kwa usenge nini? Naona ulisahau pale alipoamrisha kwenu kuliaaaaaa mwisho guys!
 
Duh! huyo mtoto wa watu cjui aliupataje huo uaskari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom