Hiyo ya kujenga mazingira ni kweli inaweza fanyika.ninachokipinga mimi ni kitendo cha kusema moja kwa moja huyu mtoto ni chakula cha wa kubwa bila kuwa na ushahidi.
Hujui mambo ya jeshi nini..!?? hapo anakuja koplo Mwita anakaambia "Afwande Rucy jioni ya reo nitajitorea kukusaidia rindoni, sema ndio afande..! kanaitikia "ndio afande" ndo kameshaliwa hivyo..!
kuna comment moja nimeiona kwenye blog moja kuhusu hiyo na nyingine nyingi imesema hivi "Huu ukakamavu hauhusiani na rushwa i hope, kwani inapokuja kupokea chochote mikono inakuwa myepesi kama mlenda"