Askari polisi wetu akithibitisha ushujaa wake.

Askari polisi wetu akithibitisha ushujaa wake.

ChineseArmy_1769411a.jpg


images


20130225023855-ad37ecb4-me.jpg


b02081a.jpg


russ2.jpg


142581016.jpg

Lengo la haya mazoezi ni nini?najaribu kuvuta picha kama hilo la kuvunjiwa matofari kichwani?au ni uvumilivu wa kujiandaa kuwa mateka
 
Mhhhh hako labda kawe kanatumika kwenda kuwakamata majambazi wale warohowaroho na wenye ugwadu wa wanaume??
Like samsoni na delila.

Ila kama ni mikiki face 2 face nginjanginja hakawezi kabisaaa
 
Ni tabia ya mtu!siamini Kama atalazimishwa.

Hujui mambo ya jeshi nini..!?? hapo anakuja koplo Mwita anakaambia "Afwande Rucy jioni ya reo nitajitorea kukusaidia rindoni, sema ndio afande..! kanaitikia "ndio afande" ndo kameshaliwa hivyo..!
 
Hivi haya ndo mafunzo ya polisi siku hizi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ni katika kutekeleza lile azimio la wapigwe tu, tushachoka sasa

kuna comment moja nimeiona kwenye blog moja kuhusu hiyo na nyingine nyingi imesema hivi "Huu ukakamavu hauhusiani na rushwa i hope, kwani inapokuja kupokea chochote mikono inakuwa myepesi kama mlenda"
 
Back
Top Bottom