KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Na Bado subiri ukistaafu ndio tutajua maana ya neno KARMA
 
Huna mahusiano mema na wakubwa tulia wewe , wa knye kota wanalipwa na wamewapa ndugu zao, wao wanaishi knye zao
 
Hizo nyumba ziwaangukie nyie na familia zenu mfe muozee humo humo kwa kukosa mssada.
 
Je posho ya kwenda kutungua vibuyu vilivyo kuwa vichwa I kwa Watanzania mnalipwa?
 
Usilete Taharuki kwenye Jamii,, Serikali iko makini kabisa kwenye utendaji na ikiwezekana hata mshahara waupunguze, maana Amani yetu ni bora kuliko ajira yenu..
 
Comrade anaandaliwa kuunga mkono upande Fulani kiaina!

Ni vile hajajus potential yake!!

Kwasasa ni muda wa mgawanyiko mkuu wa kimedani sasa utaamua wewe uwe upande upi!!

Mwambie comrade achague upande coz ameshasanuliwa kupitia posho!

Nawaza!
 
Hela mlizozipata kwenye vurumai ya uchaguzi mwaka jana imeisha so umekuja kutubwekea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…