adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,896
- 5,258
Juzi jioni nilikuwa sehemu flani kulikuwa kuna tukio linaendelea (la amani tu). Kwa kuwa kulikuwa na mkusanyiko wa watu na mali basi waandaaji walikuwa wameandaa askari polisi ili kuhakikisha hakuna lolote baya litajiri eneo hilo.
Nilishtuka sana kuona mmoja wa askari aliyekuwa pale (alisogea sehemu ambayo tuliyopo ktk kutuhakikia usalama) ametoboa sikio la kushoto. Si kutoboa kama baadhi ya mila za baadhi ya makabila. Utoboaji ule ni wa kihuni kabisa.
Nikawaonesha wenzangu tuliokuwa nao wajionee maajabu kila mmoja alipigwa na butwaa inakuwaje hali ile. Tulijaribu walau tupate picha lakini ilikuwa ngumu sana. Tukaacha kama ilivyo.
Ila bado nina maswali kadhaa wanaajiriwaje mtu wa namna hiyo?? Tena kwenye sehemu nyeti kama hiyo?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums