Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,330
Katika vitu vinavyonishangaza Ni uwingi wa Askari BARABARANI hasa mida ya asubuhi(watu wakienda makazini) na wakati wa jioni.
Yanayonishangaza zaidi
➡ Jinsi wanavyoyarukia Magari pale wanapogundua mtu amefanya kosa ata Kama ni kosa Dogo kiasi gani.
➡Uwepo wa Askari barabara Hadi wenye nyota nyingi begani..Ni kweli wanafanya hivi ili kutulinda sisi wananchi?
➡Kujipanga kwenye eneo moja Askari zaidi ya watano Ni kweli Kuna haha ya kuwa na Askari wengi hivinl kwenye point moja!!!