SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Mkuu jenereta uwekwa njeUlitaka Waweke Majenereta Chooni?
Mkuu jenereta uwekwa njeUlitaka Waweke Majenereta Chooni?
Ulishawahi kusikia sauti ya Mungu? Mungu anahukumu kwa neno lake ambalo ni Biblia. Wazinzi na waasherati na walevi na watenda dhambi wote watakwenda motoni kama hawatatubu. Hakuna maombezi baada ya kufa yatakayoleta tofauti. Unaweza kuendelea kujifariji katika dhambi zako lakini ukweli wa neno la Mungu ndiyo huo.
Acha kujifanya unajua maneno ya Mungu kuliko Mungu mwenyewe. Ww unajiona u mtakatifu sana? Unajuaje kama kabla ya kufa kila mmoja alitubu? Ndo mana hatupaswi kuhukumuMshahara wa dhambi ni mauti. Mungu alishasema uzinzi ni dhambi halafu wewe unasema aachiwe Mungu ahukumu? Wote wawili wamekufa kwenye uzinzi. Unategemea nini? Kuba watu wanategemea sala za wafu. Ni kujidanganya. Bibliia iko wazi. Baada ya kifo ni hukumu na siyo maombezi (Waebrania 9:27).