Askari na mpenzi wake waungua moto hadi kufa

Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu alishasema uzinzi ni dhambi halafu wewe unasema aachiwe Mungu ahukumu? Wote wawili wamekufa kwenye uzinzi. Unategemea nini? Kuba watu wanategemea sala za wafu. Ni kujidanganya. Bibliia iko wazi. Baada ya kifo ni hukumu na siyo maombezi (Waebrania 9:27).

Sawa mtumishi siwezi kukupinga kwa maoni yako. Hapo juu sijasema tufanye maombezi! isipokuwa nimesema tumuachie Mungu muumba wa vyote! yeye atawahukumu! Sisi kama wanadamu hatuna haki ya kuwahukumu wanadamu wenzetu kwa maana hata sisi tu wakosefu! Huo ni ukweli ulio wazi. No one is perfect under the sun. Biblia pia inasema msihukumu nanyi msije mkahukumiwa!

Au huikumbuki ile misemo ya Yesu ya kwenye biblia? ya kuondoa kwanza boriti machoni pako ndio uondoe na kwa mwenzako kile kibanzi jichoni mwake? na ile ya yule mwanamke aliyetaka kupigwa mawe kisa uzinzi? Yesu aliwajibuje wale watu? hiyo ndiyo ilikua maana yangu.
 
Kama wewe ni mzinzi huwezi kumsema mzinzi mwenzako. Kama wewe ni mnafiki huwezi kumsema mnafiki mwenzako. Kama wewe ni mtenda dhambi kwa makusudi huwezi kumsema mwenzako. Unatakiwa kwanza utoe boriti kabla hujaona kibanzi. Biblia iko wazi. Wazinzi wote sehemu yao ni moto wa milele. Mzinzi akikumbushwa wewe unasema amehukumiwa. Biblia ni neno la Mungu. Wewe endelea na uzinzi na ukiambiwa uache hutaki kwa kudhani unahukumiwa. Tatizo la kutofahamu maandiko na kusubiri maombezi baada ya kufa.
 
Halafu mara zote genereta ndogo ni za petroli.....

Halafu kuna vile vijenereta vya kichina vinavyoitwa ''tiger'' vinauzwa cheap na ni hatari sana kwa matumizi ya kuzalisha umeme! havichelewi kujiongeza vyenyewe. Ni solar tu ndiye mbadala wa kweli wa umeme wa tanesco. ukifunga solar ya watt kuanzia 100 na kuendelea, unaangalia mpaka tv! utashindwa tu labda kupiga pasi na kuendesha friji ingawa watt za juu zaidi zinaweza kupafom na kazi hizo pia.
 
Sihitaji kufundishwa kuwa generator haipaswi kuwekwa ndani.

Sasa Kama Hutaki Kufundishwa au Kuelekezwa Ulikuwa Unataka Ufafanuzi Gani Tena Kutoka Kwangu? au Kuna Kipele Kinahitaji Kukunwa Labda Hivyo Nije Nikusaidie Mkuu?
 
Kama wewe ni mzinzi huwezi kumsema mzinzi mwenzako. Kama wewe ni mnafiki huwezi kumsema mnafiki mwenzako. Kama wewe ni mtenda dhambi kwa makusudi huwezi kumsema mwenzako. Unatakiwa kwanza utoe boriti kabla hujaona kibanzi. Biblia iko wazi. Wazinzi wote sehemu yao ni moto wa milele. Mzinzi akikumbushwa wewe unasema amehukumiwa. Biblia ni neno la Mungu. Wewe endelea na uzinzi na ukiambiwa uache hutaki kwa kudhani unahukumiwa. Tatizo la kutofahamu maandiko na kusubiri maombezi baada ya kufa.

ha ha ha ha ha! duh! sasa hii inanikumbusha ile hadithi ya mafarisayo na masadukayo. watu waliokuwa wanajiona ni watakatifu mbele za jamii, wakisafisha vikombe vyao kwa nje huku upande wa ndani vikiwa ni vichafu. Au najibizana na malaika asiye na dhambi nini!!!???!!

Nitabakia na msimamo wangu! siwatetei hao marehemu na pia naamini ni Mungu pekee mwenye mamlaka ya kuwahukumu. Kila ana udhaifu na zambi zake! kama utakua sio mzinzi basi utakua mchawi, mfitini, mwizi, muongo, nk.

Isije ukawa kwenye lile kundi la watu wanaojiita walokole! eti hamna dhambi!! halafu kila siku kashfa na skendo haziwaishi! mnajivika upofu wakati mna macho? acheni kudanganya watu wazima aisee.

Nyinyi ndio wanafiki wakubwa eti mnafundishwa kuna dhambi mbili tu ya uzinzi na ulevi! mmeishia kuwa misukule ya wachugaji wenu ambao wanazidi kutajirika kupitia sadaka zenu nyinyi mkizidi kuwa maskini wa kutupwa. Aibu gani hii!!
 
Au huikumbuki ile misemo ya Yesu ya kwenye biblia? ya kuondoa kwanza boriti machoni pako ndio uondoe na kwa mwenzako kile kibanzi jichoni mwake? na ile ya yule mwanamke aliyetaka kupigwa mawe kisa uzinzi? Yesu aliwajibuje wale watu? hiyo ndiyo ilikua maana yangu.
Nakubaliana kabisa na maoni yako uliyoyatoa baada ya kukariri mistari kadhaa ya Biblia. Mwisho ya yote ni kumwachia Mungu tu.
 
Pole kwa familia zote,lakini Attuganile aliachika,huenda mhagama akawa chanzo au tofauti.
Ila asingefariki muhagama sijui kama angepata msaada kwa kutoka kwa mkewe.

Mhagama ndoa yake haina hata mwaka, mjane kaachiwa ujauzito miezi kadhaa. pole sana kwa familia za wafiwa
 
Aisee.....too bad
Pole mjane ulieachwa, poleni watoto wa Atu
 
Daaaah kila mmoja amekufa akiwa na mchepuko wake.
R.I.P
Fundisho kwa wanaoweka majenereta ndani.
Mkuu hapo fundisho ni michepuko au generator?, mimi nadhani generator in ajali tu fundisho hasa ni kuacha kuchepuka
 
ha ha ha ha ha! duh! sasa hii inanikumbusha ile hadithi ya mafarisayo na masadukayo. watu waliokuwa wanajiona ni watakatifu mbele za jamii, wakisafisha vikombe vyao kwa nje huku upande wa ndani vikiwa ni vichafu. Au najibizana na malaika asiye na dhambi nini!!!???!!

Nitabakia na msimamo wangu! siwatetei hao marehemu na pia naamini ni Mungu pekee mwenye mamlaka ya kuwahukumu. Kila ana udhaifu na zambi zake! kama utakua sio mzinzi basi utakua mchawi, mfitini, mwizi, muongo, nk.

Isije ukawa kwenye lile kundi la watu wanaojiita walokole! eti hamna dhambi!! halafu kila siku kashfa na skendo haziwaishi! mnajivika upofu wakati mna macho? acheni kudanganya watu wazima aisee.

Nyinyi ndio wanafiki wakubwa eti mnafundishwa kuna dhambi mbili tu ya uzinzi na ulevi! mmeishia kuwa misukule ya wachugaji wenu ambao wanazidi kutajirika kupitia sadaka zenu nyinyi mkizidi kuwa maskini wa kutupwa. Aibu gani hii!!
Ulishawahi kusikia sauti ya Mungu? Mungu anahukumu kwa neno lake ambalo ni Biblia. Wazinzi na waasherati na walevi na watenda dhambi wote watakwenda motoni kama hawatatubu. Hakuna maombezi baada ya kufa yatakayoleta tofauti. Unaweza kuendelea kujifariji katika dhambi zako lakini ukweli wa neno la Mungu ndiyo huo.
 
Nakubaliana kabisa na maoni yako uliyoyatoa baada ya kukariri mistari kadhaa ya Biblia. Mwisho ya yote ni kumwachia Mungu tu.
Mungu baada ya neno lake amekuachia wewe ufanye maamuzi ya ama kuacha uzinzi na dhambi nyingine ili uende mbinguni au uendelee nazo uende motoni. The choice is yours. Hakuna mahubiri baada ya kufa na wala hakuna toba baada ya kufa.
 
Nakubaliana kabisa na maoni yako uliyoyatoa baada ya kukariri mistari kadhaa ya Biblia. Mwisho ya yote ni kumwachia Mungu tu.
Kama unadhani nimekariri wewe unashindwa nini kukariri mstari unaoonesha unaweza kuendelea kutenda dhambi kwa kuwa Mungu ndiye anajua na unamwachia yeye dhambi zako.
 
Back
Top Bottom