Askari Monument: Kasi mpya au ya zamani?

Askari Monument: Kasi mpya au ya zamani?

Watu wabaya nyie napita kila siku ila sikuwahi kufikiria ndani ya yale mabati kuna kitu gani kinaendelea.

Ahsante kwa kunipa mwanga. Upo vizuri.
 
Ndo nimeingia mjini krismasi si nikataka niwaoshee wa kijijini wenzangu kwa kuwatumia picha kuwa nipo Dar... nashangaa siioni sanamu nimeishia kupiga picha kwenye magari ya mwendokasi nako hawaniamini.[emoji23]
 
Subiri wakishamaliza marekebisho hiyo gharama tutayotajiwa imetumika.

Hawachelewi kutumia mamilion kadhaa kama sio mabilioni[emoji24]
 
Punguza munkari ndugu... huoni hilo tangazo la biashara la Green kufanya nini sijui?! Kama ulitarajia tufanye haraka ili na hatimae tangazo letu tuliondoa haraka sana basi niseme tu am sorry!! Unaharakisha vipo kuondoa tangazo kwenye eneo zuri kama hilo?!
ha ha ha !
Kwahiyo nia ni ili tangazo likae kae mida kidogo watu wamind!
 
Nafkiri serikali inafuata mapendekezo ya yule mbunge wa Morogoro huko kwamba lisanamu la Diamond platinumz liwekwe na la askari litolewe maana diamond kaitangaza nchi
 
Ndo nimeingia mjini krismasi si nikataka niwaoshee wa kijijini wenzangu kwa kuwatumia picha kuwa nipo Dar... nashangaa siioni sanamu nimeishia kupiga picha kwenye magari ya mwendokasi nako hawaniamini.[emoji23]
Nenda daraja la kigamboni tu mkuu hamna namna
 
Wanamvisha suruali.
sababu ya kumbadilisha ni nini?

hiyo tayari ni moja ya identity ya mji kwa nini ibadilishwe?

sehemu nyingine wanajitahidi kuulinda huo utambulisho.
majumba ya makumbusho tutaanza kupaka coral
 
Typical persimists..., hivi ni mimi tu ndio nimegundua kwamba hapo wanataka kufanya maboresho ya garden au mnafanya kusudi ? Hoarding/fencing ni pre-requisite ya kufany ujenzi wa aina yeyote ule including 'landscaping'
 
Back
Top Bottom