Kakosea sana mods please ondoeni huu Uzi Huyo dada ni shemu yupo Dodoma ni askari magereza Mme wake nae ni Askari magereza wapo Dom wote aisee anasikitishwa kuzagaa kwa hii picha anahofia ajira yake kuwa mashakani