Ina haki zote hata kutoa na malazi!Ni chama tawala chama dume nyie wote majike tushawapiga mimba!
Ina haki zote hata kutoa na malazi!Ni chama tawala chama dume nyie wote majike tushawapiga mimba!
Wale wa JW mbona huwa hawapimi vifaru wanavyo safirisha?Unajua kifaru kina tani ngapi wewe?
Ina haki zote hata kutoa na malazi!Ni chama tawala chama dume nyie wote majike tushawapiga mimba!
Mdau ni mzani wa wapi? Msafara huo nimeufuatilia tayari umeashaingia Mbeya na saizi unaelekea Kiwira. Mbeya au Iringa kuna mzani?
hiyo hatari sasa hao arkari hawana akili sasa kama gari imezidi wanataka walipiwe na nani fein yao? Je hiyo mizani hawana hata ulinzi au vip? Nawapa pole hao wafanyakazi na watanzania tunatakiwa kuelewa kuwa swala la gari kuzidi na kulipa faini ni jukumu la transporter na kila gari inayozidi ni jukumu la operator kuitoza fein iwe ya serikali au mtu binafs lbd ikiwa na special permit toka wizaranHabari nilizozipokea hivi punde kutoka kwa mdau wangu wa mikoani kuwa askari magereza waliokuwa wakielekea Mbeya wakirudi wakitokea kwenye gwaride la muungano wamefanya vurugu kubwa kwenye mizani baada ya basi walilokuwa wamekodi la kampuni ya Muro kuwekwa korokoroni kwa kushindwa kulipa faini ya kuzidisha uzito,askari hao hawakutaka kuelewa wala kuruhusu wenye basi kulipa faini walianza kutoa kichapo kwa watu wa mizani na kuvunja meza,viti na samani hadi askari polisi walipoingilia kati kutuliza fujo hizo.Nawasilisha
Nimeambiw ni mizani mkoa wa morogr
Tatizo maaskari wengine wote huwa wanawadharau sana askari magereza, wanawaona kama wafungwa tu, wanawaona kama vile sio askari sanaaaa...ndo maana wanakuwa wanyonge....dharau si nzuri kwa hao walimu wa chuo cha mafunzo jamani..
Ah,nao mizani wamekosa busara pia, kundi la jamii yoyote ya askari wawapo kwenye usafiri wowote km lori, basi, pick up nk. hua hawahesabiwi km abiria wa kawaida. Ndo maana pamoja na sheria kukataza malori kusafirisha abiria lkn askari hio haiwahusu. Sasa chukulia mfano hao askari walikua wanatoka pared, walikua group tena kwa gari ya kukodi. Wamejinunulia hiki na kile sababu Dar bei nafuu, uzito umeongezeka kidogo. Kunatatizogani bw mizani kutumia busara zake? Tena wote hawa ni serekali. Wasijikoshe mizani, wananuka rushwa mtupu hawa