kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,351
- 13,436
Hata mwili wake wenyewe ni wa kikakamavu, tofauti na wa sasa malonya lonya sanaHuyu Mwamba alikuwa Mzee wa shughuli ile mbaya. Usiombe kukutana naye, kwanza mikwara kibao. Maana alikuwa anakuwa na pingu, bastola, mbwa na farasi pia.