Shiputiputi
Member
- Mar 15, 2021
- 56
- 55
Nani anamkumbuka mkama sharp?
Muhenga yeyote, ila sio vijana wa miaka hiiUnauliza watu walizaliwa mwaka gani Mkuu??
Uzi wa huyu jumaa ulishaletwa hapa..Nani anamkumbuka mkama sharp?View attachment 1776661
Nimeleta picha yake Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi wa huyu jumaa ulishaletwa hapa..
Miaka hiyo mabaharia wanakaa American chips pale kinondoni mpaka usiku mneneKiboko ya wana kinondon Miaka hyo Wala unga vibaka wakisikia jina lake wote spidi jamaa alikuwa maarufu Sana na muwajibikaji aliipenda Kaz yake
Tuweke picha ya koba kabanda naye zamani wakati tunauza sim za dili azam pale alikuwa shida[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeleta picha yake Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nilikuwa mdogo kipind hicho alikuja kitaa chetu aliwadaka jamaa. Kama wanne peke yakeMiaka hiyo mabaharia wanakaa American chips pale kinondoni mpaka usiku mnene
Jamaa alitusumbua sana
Sema alikuja kuumwa sana mpaka akafikia mauti
Ova
Itakua mlimloga au ukimwiMiaka hiyo mabaharia wanakaa American chips pale kinondoni mpaka usiku mnene
Jamaa alitusumbua sana
Sema alikuja kuumwa sana mpaka akafikia mauti
Ova
Alikuwa ana idea ya mambo ya kataMm nilikuwa mdogo kipind hicho alikuja kitaa chetu aliwadaka jamaa. Kama wanne peke yake
Kama tuzo zingekuwa znatolewa kutokana na utendaj mkamasharp angekuwa igp kabisa
Siku hiz hakuna watu Kama hawa kwenye majesh yetu
Yupo hadi leo ferryNani anamkumbuka mkama sharp?View attachment 1776661
Alikuwa muelewa Sana Kuna bro angu alidakwa na askari wengine kipind yupo msimbaz huyo mkamasharp alitusaidia kumtoa kabla hajahamishiwa kuja kinondonAlikuwa ana idea ya mambo ya kata
Sema alikuwa muelewa
Ova
Yah!alikuwa muelewa mm kanikamata sanaAlikuwa muelewa Sana Kuna bro angu alidakwa na askari wengine kipind yupo msimbaz huyo mkamasharp alitusaidia kumtoa kabla hajahamishiwa kuja kinondon
Ila alikuwa na sifa sifa fulan za kutaka aogopeke