"Fanya" ndo askari gani hao!!??Ni askari upande upi? Magereza,uhamiaji,Fanya,police au jwtz au mgambo??
Nasisitiza.Kama kuoa oa hayo majeshi mengine ila kwa Polisi utaingia kwenye mtihani kila kitu atajifanya anajua atatoa ubongo wako ataweka kimashine na yy atakaa na remote mpaka utajuta au wewe haujionei polisi wengi wanalea watoto ambao baba zao hawajulikani tatizo kujifanya ujuaji na wanaachika.
nadhani atakuwa askari kanzu huyoo,...Ni askari upande upi? Magereza,uhamiaji,Fanya,police au jwtz au mgambo??