Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 732
- 292
Dah...! Amempora raia mwema haki yake ya kujamiiana
Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa mtera,source mimi mwenyewe mkazi wa mtera staff.
Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa mtera,source mimi mwenyewe mkazi wa mtera staff.
Mjamzito,Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa mtera,source mimi mwenyewe mkazi wa mtera staff.
Alimsaidiaje kwenye hiyo kesi na kwa nini mme wake hakumsaidia mpaka askari akaja kumsaidia?
Dah kama kajileta mwenyewe hata mi napiga mambo.....
Kwani yeye hana mke na kwani mumewe hawezi kulalamika mwenyewe?
Hahahaaaaa hahahaaaaa Nimeipenda hiyo nimepata msamiati mpya; papuchiHii Taarifa inabidi tutume makao makuu askari afukuzwe kazi mboda dada wa magomeni Kova kamtimua kazi baada ya kuonyesha papuchi yake
amepora na mimba!!!!!kvp?
kwa hiyo kamchukua yeye or
Mmmmm hiyo ndo rushwa kabisaa
Hii Taarifa inabidi tutume makao makuu askari afukuzwe kazi mboda dada wa magomeni Kova kamtimua kazi baada ya kuonyesha papuchi yake