Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Habari wanaJF,
Nilisoma habari kwenye Jambo Leo kama alivyonukuliwa msemaji mstaafu wa JWTZ Kanali Mgawe.
"Kwa mujibu wa kamanda huyo mstaafu, hakuweza kutimiza ndoto yake ya kuwa rubani kutokana na mwanajeshi mwezake aliejulikana kwa jina la Pascal Nzuki, kufanya utundu wa kutorosha ndege ya jeshi kwenda Visiwa vya Comoro na kufanya kikosi cha wanajeshi wote waliomaliza fani hiyo kuvunjwa na yeye kuhamishiwa kikosi cha miguu". Kanali Mgawe astaafu jeshi | JAMBO LEO
Shida yangu
WanaJF wanaojua historia watusaidie. Nini kilitokea kwa askari Pascal, ndege ilirudi au ilitokomea? Je, kulikuwa na uhusiano na vita vya ukombozi au Idd Amin?