Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
nakuambiaje mkuu Tanzania watu wamefunguka akili siku hizi,sikuwahi kuona watu wakihoji mambo namna hii .naishukuru sana chadema na kuna siku Tanzania itazaliwa upya!Aisee Kamanda anazidi kuibua mjadala mzito mkubwa zaidi
Nahitaji kujua iyo sheria ya secondment tu-construe.
Aisee Kamanda anazidi kuibua mjadala mzito mkubwa zaidi
Nahitaji kujua iyo sheria ya secondment tu-construe.
Wanaendelea kujikanyaga!Hahahahaha si walisema hawa mtambui? Sasa kwa ninii wamtafute?
Hahahahaha si walisema hawa mtambui? Sasa kwa ninii wamtafute?