Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Wakati Netanyahu akidhamiria kuiteka Gaza yote,vita vinaelekea kuchukua mwelekeo wa ajabu na kwisha kwa namna moja au nyengine .
Jumla ya idadi hiyo ya askari wamekimbia vita na mshike mshike imekuwa kubwa sana na ndio sababu Israel imekwama kuendelea na kupeleka jeshi Gaza kwa haraka iliyoidhinishwa na viongozi wenye msimamo mkali ambao wanamuunga mkono Netanyahu.
Hamas wametangaza kukubali kusitisha vita na wakati huo huo wameweka wazi kuwa askari watakaoingia jijini Gaza City basi wasitegemee kuingia kama kwamba wanaingia kwenye mbuga za wanyama kwa burudani.
Viongozi wastaafu wa jeshi la IDF wamesikika wakisema kwamba hatua ya kuingia Gaza kwa namna iliyopendekezwa na Netanyahu litapelekea maafa makubwa kwa askari wa nchi hiyo.