Ask me anything about world history

Ktk Mtaala wa Elimu ya SA, wanasema Mtu wa kale aliishi SA! Tupe ukweli!
 
kuna raisi mmoja marekani alifanya mambo makubwa sana marekani kwa sela zake ila alikuwa akimtumia mkewe katika ushauri wa maswala yote ya kiserikali unaweza kunitajia jina lake na sababu zilizompelekea kumfanya mkewe kumsimamia katika maswala ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…