Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,246
- 35,575
Wewe umeuongelea moyo wangu.Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Basi mnapendana..!!Wewe umeuongelea moyo wangu.
Kaleman alishatolewa. Polepole katupwa huko. Kwa hiyo makonda kaletwa kimkakati kung'oa mzizi mrefu?. Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Pia kwenye hii nchi tutaona mengiTeuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Yaani ukishaona watu wenye mdomo lakini hawana akili kichwani kama Paul Makonda na Philip Mulugo wanapewa jukwaa la kusema chochote juu ya ubovu wa baraza la mawaziri basi jua wazi kwa 100% system imewatuma. Ni suala la muda tu.Kaleman alishatolewa. Polepole katupwa huko. Kwa hiyo makonda kaletwa kimkakati kung'oa mzizi mrefu?. Kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu. Pia kwenye hii nchi tutaona mengi
Ukweli mtupu bila chenga chenga...Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Mbona Makonda karudishwa. Nadhani ulichosema kibakie kuwa opinion siyo facts.Teuzi ya Doto Biteko kuwa naibu waziri mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Uchumi upi aliouhujumu?Aondoke tu hana msaada wowote kwa nchi, kwanza afikishwe mahakamani kwa uhujumu uchumi
Labda ni kuacha rekodi ya Sumaye bila kufikiwa na yeyote hapa nchiniWhat's the motive? Kumtoa PM opens up a big hole tofauti na hao wengine.