Asitisha mawasiliano baada ya kumkatalia kumpa dressing table

Asitisha mawasiliano baada ya kumkatalia kumpa dressing table

Achana naye mkuu , vuta mzigo mwingine mpya.... Tena unaonekana bado kijana tu wewe.
 
Kama kaipenda ahamie mtumie wote.mkuu hujui siasa kwenye mapenzi? there is a soft way of saying no! sasa we umemjibu "siwezi kukupa" thats harsh! ungemwambia "'mamy hii haikufai,mambo yakikaa sawa ntakununulia nzuri zaidi kuna mahali niliiona"
afu asuburi mpaka Yesu aje nayo!

Dah! We kiboko! Hufai kabisa aisee!
 
embu tupia picha ya dressingtable yako mkuu!! inawezekana iko poa sana hadi dada analilia umpatie.
dressing table 120000 tu mchina unapata mpatie akanunue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom