Asitafutwe mchawi

kazi ya madereva wenye haraka zao! cha kushangaza hadi STJ, SU-Magari ya serikali yanaonekana kuvunja sheria na huku wanatoa masharti magumu kwa waombaji wa nafasi za udereva serikalini!!!
 
Mchawi haendeshi hapo ni kazi ya abiria kunyamzia mambo hayo hatutoi taarifa kwa chombo cha usalama barabarani
 
Hapa ni Matatizo matupu angalia hapa

Hapa pia majanga matupu

Kizazaa kingine hicho
Hii hatari sana, halafu utakuta abiria wapo busy na simu pamoja na magazeti na kushindwa kuwakemea madereva wanaohatarisha maisha yao
 
kazi ya madereva wenye haraka zao! cha kushangaza hadi STJ, SU-Magari ya serikali yanaonekana kuvunja sheria na huku wanatoa masharti magumu kwa waombaji wa nafasi za udereva serikalini!!!
Tena hao ndio jeuri barabarani
 
Mchawi haendeshi hapo ni kazi ya abiria kunyamzia mambo hayo hatutoi taarifa kwa chombo cha usalama barabarani
Tena chombo kikisimamishwa kwa muda tu kutokana na makosa ya dereva, abiria wanalalamika kana kwamba ni uonevu wakati ni kwa usalama wao.
 
STJ imevunja sheria gani hapo mkuu
mkuu tazama picha yenye lori la AZANIA. hilo Land cruiser Hard Top numbered SU....... lime-overtake kwenye kona kinyume na sheria ya usalama barabarani. (hairuhusiwi kulipita gari jingine kwenye kona, carvat, daraja au bila kuona lau mita 100 mbele) wapo wataalam na wazoefu wa masuala ya sheria hizi wataongezea.
 
Hawa madereva nadhani hawafahamu sheria za Usalama barabarani
 
ALAMA za usalama barabarani tujaribu kuzitafasiri tuone jee tunazifahamu?
Ukiona ALAMA ipo kwenye kibao cha pembe tatu na kina fito za rangi nyekundu pembeni katikati rangi nyeupe hicho kibao kinakupa tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…