Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Wanawake badilikeni, asilimia kubwa yenu ni wabovu kitandani, hamfanyi jitihada za kujifunza namna ya kufanya mapenzi, kazi yenu ni kujiachia tu na kuwaachia wanaume,
Unakuta mtu akifika kitandani utadhani ligogo, hata kunyonga nyonga hamna, halafu sasa wanawake wa hivo ndio ya kwanza kujifanya wanaona wivu, wivu wapi wakati mwenyewe hujishugulishi,..
Badilikeni jamani. Kiufupi mnakera na kuboa sana waambieni wenzenu waboreshe ndoa.