Ila Rayvany tayari ni mkubwa haya yanayoendelea hayamuongezei lolote kwa sasa tofauti na ilivyokuwa kwa Diamond na Sepenga labda inaweza kuwa na impact kwa Paula lakini si kwa ReyvanyHaters wanawajenga na kuwakuza celebrities kuliko hata real fans, Shigongo aliiandama sana couple ya Sadala na Sepenga lakini unknowingly ndiyo alikuwa akiwajenga.
Hata hawa madogo(this new couple) haters ndiyo watawafanya wawe maarufu sana, haters are fans in disguise kwani ndiyo hufuatilia zaidi, hupoteza muda zaidi na ndiyo huongoza kuwaandika every now and then.
Yaani watashambuliwa na kusemwa sana lakini hiyo ndiyo itawapaisha, just wait and see.
Hakuna artist ambaye utasema alipofikia hahitaji kukua, iwe Rayvanny au hata Diamond au artist yoyote yule around the globe kama social media, blogs au publications zozote zikiwa busy naye na akawa midomoni mwa watu daily haijalishi positively au negatively bado itamsaidia kukua kutoka alipo na kwenda mbele zaidi.Ila Rayvany tayari ni mkubwa haya yanayoendelea hayamuongezei lolote kwa sasa tofauti na ilivyokuwa kwa Diamond na Sepenga labda inaweza kuwa na impact kwa Paula lakini si kwa Reyvany
All in all paula amefika umri sahihi wa kuliwa tena wengi tunaomsema paula ndo tunaongoza tuvitolea mate vitoto hata vya miaka 16 so kwa paula keshakuwa, achen vany boy ajilie vitam kutoka kwa kyla Jenna wa Tz
Na mie nilitaka kuhoji kuhusu wivuAcha kumjaza ujinga.
Sasa aonewe uwivu kwa lipi? Sanasana wengi wanamuonea huruma.
πππ mleta mada angeitoa hoja ya wivu aseeHahahhaaaa wivu kwa Paula
Unaweza usiwe ww ila wapo wanaomuonea wivu kwa mahali alipoNa mie nilitaka kuhoji kuhusu wivu
Yani wanamuonea wivu Paula kwa lipi?
Acha tuu. Nimetafutaaaa haswa sababu yakumuonea uwivu nimekosa kabisaNa mie nilitaka kuhoji kuhusu wivu
Yani wanamuonea wivu Paula kwa lipi?
Unaweza usiwe ww ila wapo wanaomuonea wivu kwa mahali alipo