mnengene
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,118
- 6,309
Kama kweli umelelewa Katika maadili safi ya kikristo usingeweza kusifia uzinzi anaofanya huyo binti.Ok, we unaongea kama mzazi, naheshimu maoni yako, ila ukweli haupingiki,
Nmelelewa katika maadili safi kabisa ya kikristo "nawasifu wazazi wangu katika hili" ila ukweli unabaki palepale, sitetei uzinzi ila kubali kataa vijana wenu tunafanya sana uzinzi especialy katika Age hiyo.
Fuatilia takwimu za maambukizi ya VVU uatajua nnaongea nn, hata mwanao unaemlea katika maadili mema jua tu anajificha machoni pako ila anayofanya huko nje na uwepo wako ndo haya unayoyaona kwa kajala.
All in all kajala kafika umli sahihi wa kuolewa sizan kama we mzazi mwenye akili timamu unaweza mzuia mwanao kuwa katika mahusiano ktk umli huo vinginevyo atafanya kwa sili na kukuletea ujukuu nyumbani kwako
Ungekuwa unafahamu kweli takwimu za maambukizi ya HIV kwa vijana wadogo usingefurahia uzinzi wa huyo binti.
Sio kweli kwamba eti vijana wadogo wengi wanafanya uzinzi kwa kificho ni nyie tu mnaounga mkono upuudhi huo wa Paula. Acha kugeneralize.
Halafu huyo Paula hajafikia umri sahihi wa kuolewa ,miaka 19 ni midogo Sana kumwezesha kuwa mama kwa mujibu wa maelekezo ya kitabibu .
Hivi kweli kabisa unakaa unatumia bando lako kuunga mkono mambo ya kishenzi yanayofanywa na huyo binti na mama yake?
Yaani unapingana kabisa na watu wanaokosa mwenendo wake mbaya kwenye jamii eti wanamuonea wivu.
Kweli wazazi tumuombe Sana Mungu aangalie upya hiki kizazi .
Tunapoelekea tutakuwa na watoto wengi sana wanalelewa na mzazi mmoja tena wengi wakiwa wanawake tena wengine wakiwa hawamjui hata baba wa huyo mtoto.
Inasikitisha Sana.
Na wewe kijana nakushauri nenda katubu hii dhambi uliyofanya ya kuunga mkono uzinzi , fahamu kwamba ukiwazacho ndio ukitendacho