DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Takwimu zinaonyesha mwenendo wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka 50, zikionyesha idadi ya wapiga kura, waliopiga kura na mgombea mshindi katika kila mwaka wa uchaguzi.
Chanzo: Ripoti za Tume ya Uchaguzi na taarifa za Uchaguzi Mkuu (The Chanzo, Novemba 8, 2025).
Chanzo: Ripoti za Tume ya Uchaguzi na taarifa za Uchaguzi Mkuu (The Chanzo, Novemba 8, 2025).