asilimia 94 ya Watanzania hawanawi mikono

asilimia 94 ya Watanzania hawanawi mikono

Nina wasi wasi na methodology aliyotumia kwenye utafiti wake huu. Tungepata research report tungeangalia vizuri sampling frame and sample size.
 
Nakubaliana na hili watanzania ni wavivi!!(?) kunawa mara kwa mara hasa linapokuja swala la kula vitu kama matunda,karanga,mihogo hata dawa na vingine vidogovidogo lakini vinakwenda tumboni.Tukumbuke kupeana mikono,matumizi ya ATM,simu nk vinaweza kuifanya mikono kua michafu sio kwenda chooni tu.

nafikiri aikuwa analenga vitu kama hivyo. huku kwetu snacks zote ziko wazi yaani havijapata packed na hatuna utamaduni wa kula kwa uma, vijiko au chop sticks, tunashika kila chakula kwa mikono.

naongezea hapo kwnye vitu vinavyochafua mikono kuwa mfano chuma cha daladala ukipanda hata kama ulipata seat lakini wakati wa kupanda unajisupport kwa kushikila chuma. kama hukupata seat ndio kabisa. viti vya gari ni vichafu hata usukani kwa madereva nk, so sio choo tu pia hata wanaonawa hawanawi ipasavyo. utakuta mtu kananwa lakini bado mikono inateleza hasa asiponaa kwa sabuni. hii hutokana na jasho au uchafu mwingi. hata wanaonawa kwa sabuni wengi wao hunawa baada ya kula na sio kabla na hunawa zaidi kwa sabuni kama wakekula chakula chenye mafuta au shombo kali kama polk au samaki wabichi walionona. so mi naunga mkono mia kwa mia huo utafiti wake.
 
Sidhani, yaani 94 kati ya watu 100. Watz tupo mil 45. Kwa hiyo ni kama watz mil 42. Na mimi nimo
 
hahahahaha,ume na wewe sio?
utafiti wa kwenu tu afu una jumuisha nchi nzima lol
 
Mhh sidhani kama wanafika wengi hivyo ila wapo!Unakuta mtu anatoka chooni hanawi alafu dkk tano baadae anakula tena bila wasiwasi!

si kweli kuwa ukinawa ndo umekuwa msafi(sihararishi kutonawa). Bali la msingi ni kunawia maji safi, je, maji safi tunayo?, kwa haya maji ya visima vifupi na yale ya miundombinu mibovu ya dawasco, kunawa ni kupakaza mv.
 
ndo maana yake! polisi vipi zali la arusha? mlinawa mikono kweli siku hiyo?

Ha ha ha, yamekuwa hayo tena. Vyoo vyetu vyenyewe. Choo kimoja familia 10. Unaenda na kopo chooni, ukimaliza unarudi nalo ndani unalihifadhi. Naanza kumwelewa huyu mkurugenzi
 
Ha ha ha, yamekuwa hayo tena. Vyoo vyetu vyenyewe. Choo kimoja familia 10. Unaenda na kopo chooni, ukimaliza unarudi nalo ndani unalihifadhi. Naanza kumwelewa huyu mkurugenzi

haha, kautani kidogo siku moja moja si mbaya, ni furaha ya weekend tu bro, kindly cool
 
si kweli kuwa ukinawa ndo umekuwa msafi(sihararishi kutonawa). Bali la msingi ni kunawia maji safi, je, maji safi tunayo?, kwa haya maji ya visima vifupi na yale ya miundombinu mibovu ya dawasco, kunawa ni kupakaza mv.

Hilo nalo ni tatizo ila hapa tunaowaongelea sio kama hawana maji masafi!Ni kukosa tu ustaarabu!
 
Hilo nalo ni tatizo ila hapa tunaowaongelea sio kama hawana maji masafi!Ni kukosa tu ustaarabu![/QUOsehemu kubwa ya wasionawa mikono kwa tanzania ni watanzania waishio vijijini.ukilinganisha na mijini
 
sehemu kubwa ya wasionawa mikono kwa tanzania ni watanzania waishio vijijini.ukilinganisha na mijini
 
Back
Top Bottom