Asilimia 72 ya kaya zote Tanzania Bara zimefikiwa na umeme

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti wa athari za upatikanaji wa Nishati Endelevu Tanzania Bara kwa mwaka 2021/2022, inaonesha kuwa asilimia 72 ya kaya zote Tanzania Bara zinaishi katika vijiji/mitaa iliyofikiwa na huduma ya umeme.

IMG-20231115-WA0222.jpg
 
Tafiti uchwara hizi.

Hapo tu mkuranga kuna vijiji havina umeme, vipi huko machokoroni.
 
Back
Top Bottom