Asilimia 15 ya bodi iko wapi?

Muajili wako ndie wa kupeleka so serikali itakua kwao tamko limekuja mishahara ikiwa ilishapangwa ila private zimekatwa hizo 15 percent ,mwezi ujao serikali nao watakata
 
kulikuwa na maelezo hapa jf kuwa bodi watakata 15% ya mshahara wa wadaiwa mwezi huu.. mshahara umeingia jana hiyo 15% mbona sijaiona?

"Miafrika ndivyo tulivyo" Nyani Gabu
Unawazodoa kama wameshindwa au unajitapa wewe hawakuwezi?
 
kulikuwa na maelezo hapa jf kuwa bodi watakata 15% ya mshahara wa wadaiwa mwezi huu.. mshahara umeingia jana hiyo 15% mbona sijaiona?
Kuna baadhi ya maafisa watumishi barua zilochelewa kuwafikia tayari walishakuwa wametuma pay list hazina so mwezi ujao jiandae iv vitu ni documented na haviendi kwa matamshi ,nazani umeelewa
 
Kuna baadhi ya maafisa watumishi barua zilochelewa kuwafikia tayari walishakuwa wametuma pay list hazina so mwezi ujao jiandae iv vitu ni documented na haviendi kwa matamshi ,nazani umelewa
Kama amewahi kuliowa AREAS basi atakuwa ameelewa maana ya documentation
 
Back
Top Bottom