Asili ya neno ya bwawa la ''Nyumba ya Mungu''

Nyumba ya Mungu ni man made lake, na ndo moja ya mabwawa ya mwanzo kujengwa mara tu baada ya uhuru, na dhumuni lake lilikuwa ni kuzalisha umeme, uvuvi na kilimo make Baba wa Taifa alipanda hilo bwawa litumike kwa kilimo kwa hekta zisizo pungua 30,000 ila hilo halikufanyika na samaki kwa sasa nao ni kama hakuna make kuna uvuvi holela pale.
 
Kuhusu MELI sio ukweli, ila pale kulikuwa na jiwe limekaa kama nyumba ndo ikaitwa nyumba ya mungu, nakumbuka kuna kipindi nilitembelea kule kwa shughuli za kijamii, sasa pale kuna Kijiji cha Mungu sasa kipindi hicho alikuwepo mwenyekiti wa hicho kijiji alikuwa anaitwa malaika, Malaika ndo mjina lake halisi sasa akabahatika kuwa mwenyekiti wa kijiji cha Mungu
 
Mkuu embu naomba nidadavulie zaidi kuhusu ni vipi ilo jiwe lililokaa kama nyumba lilipelekea bwawa ilo liitwe nyumba ya mungu
 
Kuna mtu ameniambia eti pale nyumba ya Mungu ndio asili ya Wapalestina na Wayahudi eti kuna siri nzito sana yeye ameambiwa kwenye maono...
Dunia hii ina mengi sana.
Sijui amenilisha matango pori.. Wajuzi wanajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ki asili jina Nyumba ya Mungu ni jina la kijiji kinachopatikana katika wilaya ya simanjiro mkoani Kilimanjaro limetokana na pango ambalo wenyeji wa sehemu ile walikuwa wanalitumia kama sehemu ya kufanyia ibada na walikuwa wanaamini kwenye pango hilo ndio mungu wao anapoishi pia kuna kijiji upande wa wilaya ya mwanga mkoani kilimanjaro kinaitwa Kiti cha Mungu
 
Back
Top Bottom