MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Wakuu kwa yoyote anayefahamu kwanini bwawa la nyumba ya mungu linaitwa hivyo..nini haswa ni asili ya hilo jina
Wakuu msaada kwa mwenye uelewaWakuu kwa yoyote anayefahamu kwanini bwawa la nyumba ya mungu linaitwa hivyo..nini haswa ni asili ya hilo jina
Lakini hulazimishwi kuamini nilichokisema baki na uelewa wako.Watu niwaongo aisee tokalini meli ikawa bwawani
Ha ha ha! Kwa hiyo walidhani mzungu ni Mungu!!Ni kwamba wazungu walifika eneo hilo (umasaini) kwa ajili ya kutengenezea miundo mbinu ya ememe kama mnavyofahamu bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo pia cha kuzalisha umeme. Wazungu hao walikua na meli ili kurahisisha kazi yao hiyo bwawani humo.Hivyo basi baada ya kumalizika Kwa ujenzi wa mtambo huo wa umeme wazungu waliondoka na kuiacha meli ikielea bwawani humo,ndipo wamasai baadae waliiona na ikielea bila kuwamo na mtu wakaiita nyumba inayoelea....Nani kaileta nyumba hiyo hawakujua!!! Ndipo waliamua kuiita nyumba ya Mungu.
Ndipo ikawa chimbuko la bwawa hilo kuitwa nyumba ya Mungu.
Ni kwamba wazungu walifika eneo hilo (umasaini) kwa ajili ya kutengenezea miundo mbinu ya ememe kama mnavyofahamu bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo pia cha kuzalisha umeme. Wazungu hao walikua na meli ili kurahisisha kazi yao hiyo bwawani humo.Hivyo basi baada ya kumalizika Kwa ujenzi wa mtambo huo wa umeme wazungu waliondoka na kuiacha meli ikielea bwawani humo,ndipo wamasai baadae waliiona na ikielea bila kuwamo na mtu wakaiita nyumba inayoelea....Nani kaileta nyumba hiyo hawakujua!!! Ndipo waliamua kuiita nyumba ya Mungu.
Ndipo ikawa chimbuko la bwawa hilo kuitwa nyumba ya Mungu.
Mkuu ahsante sana kwa mchango wakoNahisi mungu alikuwa analitumia sana hilo bwawa.
Mkuu ahsante sana umenipa mwanga mzuri kwa mchango wakoNi kwamba wazungu walifika eneo hilo (umasaini) kwa ajili ya kutengenezea miundo mbinu ya ememe kama mnavyofahamu bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo pia cha kuzalisha umeme. Wazungu hao walikua na meli ili kurahisisha kazi yao hiyo bwawani humo.Hivyo basi baada ya kumalizika Kwa ujenzi wa mtambo huo wa umeme wazungu waliondoka na kuiacha meli ikielea bwawani humo,ndipo wamasai baadae waliiona na ikielea bila kuwamo na mtu wakaiita nyumba inayoelea....Nani kaileta nyumba hiyo hawakujua!!! Ndipo waliamua kuiita nyumba ya Mungu.
Ndipo ikawa chimbuko la bwawa hilo kuitwa nyumba ya Mungu.
Mkuu ahsante sana kwa mchango wako..unaruhusiwa kuendelea kutoa michango mingine zaidiNahisi Ni jina Tu kama majina mengine kwasababu kama lingekua Na maana tofauti lingekua kwa kilugha cha wenyeji hapo nazungumzia watu wa Mwanga(wapare) Na simanjiro(wamasai) kwani ndio wanaotumia bwawa Hilo kwa wingi. Otherwise muite mshana jr mtani njoo utueleze kwa kina
Mkuu wewe kwa mchango wako unahc asili ya jina hili ni niniWatu niwaongo aisee tokalini meli ikawa bwawani
Mkuu kwa upande wako unahc asili yake ni nini haswa kama umewahi sikia sehemu yoyote labdaMeli gani kwenye bwawa acha Ulongo.
Ahsantd mkuu..vipi upande wako kuhusu ufahamu wa asili ya ilo jinaSi lazima kujibu kama kitu hukijui
Tatizo mmekariri nadhani ungeuliza hiyo meli ilikua ya ukubwa gani? halafu rejea tena usome vizuri na uelewe.Kwa hiyo pengine ilikua meli ndogo,boat au kitu kingine cha kufanana na hivyo ili kurahisisha tu ujenzi wa hydro power .Si lazima kujibu kama kitu hukijui