Asili ya nchi ya Afrika ya Kusini

Asili ya nchi ya Afrika ya Kusini

Miaka iyo ni mandalay,woodstock,guguletu,nyanga na kayelitsha na kidogo saltliver, wynberg na Athlone kwa PAGAD hapo..usafiri ni iyege tkt za treni za kuchanja za wiki za mwezi kwa michael hapo Mandalay..
Habari Isanga.

Naomba unipe experience yako japo sijajua last time yako kuwa South Africa.

Naulizia kusafiri na basi kutoka Jo'berg mpaka Cape Town. Nauli inaweza cheza mwenge Randi ngapi.

Wewe ushawahi safiri kwa bus hizo miji miwili? Maasa mangapi safari inachukua.

Vipi Stand ya mabasi Jo'berg ipo jirani na Airport yao (walking distance)?

Yaani iko hivi, kuna mtu anatoka Bongo mpaka Jo'berg kwa ndege.

Then kupunguza gharama, akifika pale Jo'berg anapanda Bus hadi Cape Town.
 
OK ila gharama haipungui kwa kupanda Bus SA ndege za jioni na usiku mara nyingi bei haizijatofautiana sana na Bus kwa hiyo mara nyingi safari za ndani watu wengi wanatumia usafiri wa ndege...Greyhound au Intercape Bus nauli zao mara nyingine zinazidi nauli ya Bus...
Kutoka Oliver Tambo mpaka Park Station sehemu ya kupanda Bus za Cape Town ni umbali wa dk 45 kwa Tax ya kukodi na mara nyingi wanachaji rand 500,600 mpaka Park Station sema kama ni mgeni bora aunge hapo hapo na Ndege atafanya ku connect tu hata Tanzania hawa Airlink wapo ambao kule wana nauli ndogo kuliko mashirika mengine ndio wengi wanaitumia..
 
Nauli ni Rand 800 mpaka 1400 inategemeana na Luxury ya Bus utakalokata na muda mwingine ndege nauli inacheza hapo hapo au rand 1700 kwa Tiketi ya kwenda tu..
 
Duh!!!! Dizonga!!!! Hilo ni jina wabongo wa Sauzi wanapenda kuiita ile nchi. Mie nimeishi huko kwa muda mrefu na nimeoa huko, japo kwa sasa ninaishi bongo na huyo waifu na watoto niko nao hapa Bongo. Nakubaliana na wewe majina yapo, ila hawakubaliani nayo kwa sababu ya nani anayatoa. Wazulu, WaXhosa, Waswati, Wandebele wanaiita Mzantsi Africa, Watswana, Wasotho na Wapedi wanaiita Africa Borwaa, Watsonga wanaiita nDizimu Africa, WaAfrikaneer wanaiita Zeid Afrikanche, na Waingereza wanaiita South Africa. Maana ya majina yote hayo,ni moja yaani Africa ya Kusini. Ila, kuna jina ambalo wote wanalikubali ambalo inasemekana lilikuwa linatumika sana enzi za kugombania uhuru wao,nalo ni Azania. Tatizo hilo jina lilitumiwa sana na wapigania uhuru wa vyama vya Azapo ( Azanian Peoples Organization) na PAC ( Pan Africanist Congress of Azania) wakati ANC ( African National Congress) walitumia South Africa. Sasa ANC haitaki kutumia jina la Azania kwa sababu itavipa hivyo vyama credit zaidi. Kwa kweli kuna mgongano na mgogoro mkubwa sana huko juu ya jina la Africa ya Kusini. Weusi wanataka nchi yao itambulike kwa jina la asili yaani Azania badala ya eneo la kijiografia yaani Afrika ya Kusini. Inasemekana pwani ya kuanzia Durban kwenda Xhluxhluwe, Port Alfred, Port Shepstone, mpaka Port Elizabeth, hadi Cape Town zamani sana ilijulikana kama Pwani ya Azania.
Dah!....'Azania' sikuwahi kuifahamu hili.

Asante kwa elimu.
 
20240227_202400.jpg
20240227_202400.jpg
20240227_202428.jpg
 
OK ila gharama haipungui kwa kupanda Bus SA ndege za jioni na usiku mara nyingi bei haizijatofautiana sana na Bus kwa hiyo mara nyingi safari za ndani watu wengi wanatumia usafiri wa ndege...Greyhound au Intercape Bus nauli zao mara nyingine zinazidi nauli ya Bus...
Kutoka Oliver Tambo mpaka Park Station sehemu ya kupanda Bus za Cape Town ni umbali wa dk 45 kwa Tax ya kukodi na mara nyingi wanachaji rand 500,600 mpaka Park Station sema kama ni mgeni bora aunge hapo hapo na Ndege atafanya ku connect tu hata Tanzania hawa Airlink wapo ambao kule wana nauli ndogo kuliko mashirika mengine ndio wengi wanaitumia..
Umedadavuwa vema, na Mimi nilikuwa napanda Sunday flight nazo wanashusha bei.
 
Umedadavuwa vema, na Mimi nilikuwa napanda Sunday flight nazo wanashusha bei.
Yap na holiday nyingi bei inakua chini wao hawana kodi kubwa kwenye usafiri wa Anga tofauti na kwetu unakuta kodi tu ni karibu Laki na therathini hapo ukiongeza elfu Themanini unaenda Durban kwa ndege...
 
Habari za muda huu jamani.

Nina jambo huwa linanitatiza kutaka kulijua, yaweza kuwa lilishajadiliwa humu, ila binafsi sikuliona likijadiliwa humu, kama tayari basi si vibaya mkanijuza nami, hasa kwa wale wajuzi wa mambo mbali mbali.

NAPENDA KUJUA, NI KWA NINI NCHI YA AFRIKA KUSINI, HAINA JINA LAKE HALISI, JAPO TUNAJUA YA KUWA IPO KUSINI MWA AFRIKA, LAKINI NCHI ZILIZOIZUNGUKA NCHI HIYO KUSINI HUKO HUKO ZINA MAJINA YA NCHI, MFANO ZIMBABWE NA LESOTHO, ILA KWA AFRIKA KUSINI IMEBAKI HIVYO HIVYO, JAPO KUNA MAJINA KAMA YA A.K.A VILE, (kwa Madiba, Bondeni, n.k), ILA NAAMINI SIYO RASMI.

NI KWELI NCHI HIYO HAINA JINA LAKE LA ASILI?!

NAOMBA KUJULISHWA TAFADHALI.

Ahsante!
Jina la asili ni Khoisan
 
Azania (Kigiriki cha Kale: Ἀζανία)ni jina ambalo limetumika kwa sehemu mbalimbali za Afrika ya kusini-mashariki ya tropiki .Katika kipindi cha Warumi na pengine hapo awali, jina la juu limekisiwa kuwa lilirejelea sehemu ya pwani ya Kusini-mashariki mwa Afrika inayoenea kutoka kusini mwa Somalia hadi mpaka kati ya Msumbiji na Afrika Kusini. Ikiwa hii ni kweli, basi wakati wa zamani za kale Azania ilikaliwa zaidi na watu wa Kushiti Kusini, ambao vikundi vyao vingetawala eneo hilo hadi Uhamaji mkubwa wa Kibantu.
 
Dzonga Dzulu,

Iningizimu Afrika

Isewula Afrika

Umzantsi Afrika

Aforika Borwa

Suid Afrika

Afrika Dzonga
 
Habari boss.

Unaonekana mwenyeji sana Dzonga.
Ulisharudi Bongo? Maana sometimes nakuonaga unaleta story vile kama unaishi Chuga.

Bro, samahani...
Mimi nipo Cape Town, sina muda mrefu. Bado mgeni.
Sasa nina rafiki yangu (Girlfriend) Mtanzania anataraji kunitembelea.

Yeye kwa hapa Cape ni mgeni kabisaa, afadhali hata mie.

Nitakua nae kwa siku kama 3/4/5 hivi... Nataka nimkarimu mgeni wangu, sio siku zote hizo tukae ndani getto tu. Nataka angalau nimtoe tukatembee.

I'm a very "cost sensitive" person.
Nataka afurahi, lakin pia sitaki anitoboe mfuko mpaka nijute.

Nimefanya homework yangu, nimeshapata sehem ya kwanza: Tutaenda kule TableView Mountain kupanda ule mlima. Gharama kwa watu wawili (kiingilio, nauli Bolt kwenda kurudi) jumla around R 1000. Sio mbaya.

Sasa natafuta sehem nyingine kama moja au mbili hivi za kwenda.

Maeneo gani Brother una recommend tunaweza kwenda tuka enjoy kwa gharama affordable. Hatulali huko, tunaenda tunarudi maskani.

Priorities:
  • usafiri tutatumia Bolt
  • sisi sio walevi. Ni watu wapendanao
  • gharama ziwe zinabebeka.
  • usalama (hapa ndio napata shida kuna Uzi niliona unataja maeneo karibu yote ya Cape Town kuwa ni hatari)

Chukulia naishi mitaa ya Rondebosch.
OK poa nenda Waterfront mbele ya Town tu hapo mta enjoy sana pia mnaweza kwenda Camp Bay beach au bahari mbili zinapokutana yaani Indian ocean na Atlantic Ocean..kama ni mpenzi wa Cassino pana Cassino moja ipo Goodwood hapo ina michezo ya kila aina hata ya kukimbia kwenye balafu mkiwa mmevaa vile viatu vyao kwa wanaojifunza pia wanaruhusu dakika chache tu unakua kama mzoefu inshort Cape Town ina maeneo mengi ya kutembelea ila sehemu ya kwanza ni WaterFront hapo..
Mimi shughuli zangu nafanya Johannesburg kwa sasa na Tanzania huko Cape huwa nakuja kutembea tu na familia ila hayo maeneo na Wynbeg nimewahi kuishi pia..
Cape Town maeneo ya Mjini yapo salama tofauti na JHb mjini unaweza kutembea kwa miguu kuelekea huko Waterfront kasoro Campsbay Road haipo salama kidogo...
Kama unapenda kuona watu wakila bata usiku nenda Long Street huko ukitoka Waterfront unapitia Long Street unarudi zako home usiku..
 
Habari za muda huu jamani.

Nina jambo huwa linanitatiza kutaka kulijua, yaweza kuwa lilishajadiliwa humu, ila binafsi sikuliona likijadiliwa humu, kama tayari basi si vibaya mkanijuza nami, hasa kwa wale wajuzi wa mambo mbali mbali.

NAPENDA KUJUA, NI KWA NINI NCHI YA AFRIKA KUSINI, HAINA JINA LAKE HALISI, JAPO TUNAJUA YA KUWA IPO KUSINI MWA AFRIKA, LAKINI NCHI ZILIZOIZUNGUKA NCHI HIYO KUSINI HUKO HUKO ZINA MAJINA YA NCHI, MFANO ZIMBABWE NA LESOTHO, ILA KWA AFRIKA KUSINI IMEBAKI HIVYO HIVYO, JAPO KUNA MAJINA KAMA YA A.K.A VILE, (kwa Madiba, Bondeni, n.k), ILA NAAMINI SIYO RASMI.

NI KWELI NCHI HIYO HAINA JINA LAKE LA ASILI?!

NAOMBA KUJULISHWA TAFADHALI.

Ahsante!
Afrika Kusini ni muungano wa falme tofauti, haijawahi kuwa na jina moja la Afrika Kusini kwa ujumla kabla ya ukoloni. Hata hivyo daima kumekuwa na falme za KwaZulu, Bolobedu, Sekhukhune, Venda, Ndebele, Swatini, na falme nyingine ambazo zilikuwepo pamoja na falme hizi, majina mengi ya nchi za kiafrika yalitokana na falme zilizokua na nguvu pale tu wakoloni walipo ziachia mamlaka nchi hizo

South Africa waliachiwa ukombozi wao, lakini wakakaliwa kimabavu na Makabulu kwa sababu ni watu wenye kushika uchumi, na waliiendesha Ikulu wao japokua walimuachia mtu mweusi kua Ikulu ili kuwatia moyo, hivyo hawakua na maamuzi hata
 
Nimeuona huu uzi baada ya kutafuta "kwa nini Afrika Kusini inaitwa BONDENI"?

Je ni kweli hii nchi ipo bondeni au ina mabonde mengi au ni nini hasa sababu ya kupewa hilo jina?
 
Back
Top Bottom