Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
- Thread starter
- #21
Nawashukuru sana kwa ufafanuzi wenu wa hili, naendelea kusubiria ufafanuzi zaidi, nikiamini wapo wengine watakuja kulifafanua zaidi hili.
Ahsante!
Ahsante!
quiniso nkosi. Ngiyabonga kakhulu ongqongqoshe wami.
sawubona!!!!!!
Mkuu , kwani na TANZANIA (la kupewa) NALO NI JINA LA ASILIA ...!????! JINA ASILI NINI LIPI??Habari za muda huu jamani.
Nina jambo huwa linanitatiza kutaka kulijua, yaweza kuwa lilishajadiliwa humu, ila binafsi sikuliona likijadiliwa humu, kama tayari basi si vibaya mkanijuza nami, hasa kwa wale wajuzi wa mambo mbali mbali.
NAPENDA KUJUA, NI KWA NINI NCHI YA AFRIKA KUSINI, HAINA JINA LAKE HALISI, JAPO TUNAJUA YA KUWA IPO KUSINI MWA AFRIKA, LAKINI NCHI ZILIZOIZUNGUKA NCHI HIYO KUSINI HUKO HUKO ZINA MAJINA YA NCHI, MFANO ZIMBABWE NA LESOTHO, ILA KWA AFRIKA KUSINI IMEBAKI HIVYO HIVYO, JAPO KUNA MAJINA KAMA YA A.K.A VILE, (kwa Madiba, Bondeni, n.k), ILA NAAMINI SIYO RASMI.
NI KWELI NCHI HIYO HAINA JINA LAKE LA ASILI?!
NAOMBA KUJULISHWA TAFADHALI.
Ahsante!
Mkuu , kwani na TANZANIA (la kupewa) NALO NI JINA LA ASILIA ...!????! JINA ASILI NINI LIPI??
Hizo unazijuwa wewe,
Mimi nazijuwa South Sudan na North Sudan
Mmmh !! wee huna habari hiyo? Soma au fanya utafiti utafunika uso!!Unauhakika kuwa TANZANIA ni jina la kupewa?
Kama ni la kupewa tulipewa na nani?
KUNJANI,Tutambuane jamani? Hii ni Hill brow Johannesburg au Cape Town Athlone, Belleville, Mitchell's plain au George Town?
uya khuluma bhuti uhlala phi?
uya khuluma bhuti uhlala phin?
sawubona!!!!!!
Hivi kama huijui hata historia ya nchi yako je ya wengine utaijuwa? tulikuwa tunaitwa German East Africa then Tanganyika na tulipoungana na Zanzibar ndio ikazaliwa Tanzania.Unauhakika kuwa TANZANIA ni jina la kupewa?
Kama ni la kupewa tulipewa na nani?
Nauza gari aina ya gx 100 nyeupe namba ni auq, ,gharama ni.million 3. Tuu,anayetaka anicheki kwa 0712 7516 99.
sawubona!!!!!!
Ngiyaphila Nkosi. Kunjani wena