kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,197
Ni nadhani wana lao jambo... Na ukisoma historia wanasema fuvu la binadamu wa kwanza alietoka kwa nyani lilivumbuliwa olduvai gorge Tanzania...Nani kasema kuwa binadamu tulikuwa nyani na kwanini wazungu wanasema binadamu tulianza kuwa nyani
Halafu unaamini huo uongo?Tatizo watu hawajui wala kuielewa nadharia ya evolution lakini wanakomalia kusema eti evolution inasema binadamu alitokana na nyani.
Evolution inasema uhai ulianzia majini, kwahiyo watu nao wana asili ya majini.Msitumie nguvu kusema binadamu alitokana na nyani bali mfanye juhudi za kujua nyani walitoka wapi.
Evolution inasema evolution ya watu ina uhusiano wa karibu na ile ya primates wengine kama nyani na siyo kwamba nyani ndio waliobadilika kuwa watu.
Ingawa Evolution ina mapungufu yake[sababu ya info ambazo hazijapatikana] lakini ni bora kuliko creationism iliyojaa uongo na utapeli wa fikra.
Kabla mtu hajaanza kuichambua nadharia ya evolution ni bora awe na uelewa wa evolution na siyo kuzungumzia kitu asichokijua.
We hujaona watu ambao wanasema hawaamini dini wanaamini sayansi? hayo ndiyo matokeo ya kuweka imani yako kwenye sayansi,ukibisha unaonekana huna elimu ni sawa na kukufuru maana unawabishia wanasayansi.Halafu unaamini huo uongo?
Huko usiende mkuu utafeli maana hujawahi kuwa na ujasiri wa kutosha kusimamia evolution. Sio tu nyani alitoka wapi tunaenda zaidi nini kilikuwepo kabla ya uwepo wa Chanzo cha nyani au evolution of organismsTatizo watu hawajui wala kuielewa nadharia ya evolution lakini wanakomalia kusema eti evolution inasema binadamu alitokana na nyani.
Evolution inasema uhai ulianzia majini, kwahiyo watu nao wana asili ya majini.Msitumie nguvu kusema binadamu alitokana na nyani bali mfanye juhudi za kujua nyani walitoka wapi.
Evolution inasema evolution ya watu ina uhusiano wa karibu na ile ya primates wengine kama nyani na siyo kwamba nyani ndio waliobadilika kuwa watu.
Ingawa Evolution ina mapungufu yake[sababu ya info ambazo hazijapatikana] lakini ni bora kuliko creationism iliyojaa uongo na utapeli wa fikra.
Kabla mtu hajaanza kuichambua nadharia ya evolution ni bora awe na uelewa wa evolution na siyo kuzungumzia kitu asichokijua.
Kwenye evolution Mimi siyo mbobezi.Huko usiende mkuu utafeli maana hujawahi kuwa na ujasiri wa kutosha kusimamia evolution. Sio tu nyani alitoka wapi tunaenda zaidi nini kilikuwepo kabla ya uwepo wa Chanzo cha nyani au evolution of organisms