asili hii ya watu wa mara imetokea wapi?? kwanini wanafanyiana hivi katika mapenzi?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
habari wana mmu!!?

binafsi, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya kabila hili la kikurya katika suala zima la mapenzi!

kwa jinsia ya kike, wanawake wamekuwa ni watu wasiri sana katika familia zao ikiwemo kutunza siri mbalimbali za waume zao hasa pale wanapowapiga ama kuwanyanyasa kivyovyote vile katika mapenzi!

wanawake wa kikurya (hasa wale wa zamani kwa jinsi wanavyodai wao) wanadai kwamba wasipopigwa na waume zao basi hawapendwi!!! ama, waume zao wasipokuwa wakali sana, wanaamini sana kwamba mji hautokuwa na ulinzi wa kutosha! vivyo hivyo, mwanaume anapokuwa mpole sana, inafikia hatua kwamba mwanamke anaweza kumpiga ilimradi tu 'kumchokonoa' aone hali yake!!!!

naomba nitoe mfano halisi, mimi ni kijana wa kikurya, baba yangu ana wake wanne, mama yangu akiwa wa pili kati ya hao! mama alishanipa story moja kwamba, enzi hizo, baba alikuwa akiwafungia wao wote wanne sehemu moja na kuanza kuwachapa kwa pamoja kwa kosa dooogo tu labda la kutofunga zizi, kitu ambacho kilitakiwa kifanywe na mtu mmoja! adhabu hiyo ilifanywa ikienda sambamba na kunyimwa chakula!!

huu ni unyama kabisa kwa wanawake, japo na wanawake pia wanalazimisha kutendewa haya mambo!!

wakurya, si wanawake si wanaume, wote kwa pamoja ni wakorofi!!

sijui hawa jamaa bila kupigana huwa wanajisikiae vile??

kama wewe ulishafika katika kiunga chochote cha mkoa wa mara, utakutana na wabibi weengi wakiwa na ulemavu mbali mbali ikiwemo kuvunjika mikono, miguu kupinda, jicho kuharibika, wengine hawajiwezi kabisa kutembea, na vilema vingine viingi, basi ujue kuna kazi ya mwanaume hapooo imefanyika!!!
yani hapo mwanamke hachaguliwi fimbo wala nini, kilicho mbele ndicho anachopigiwa, iwe mwichi twende! iwe jiwe twende! iwe kigoda, kiti, ama chochote ndio hivyo!!

kama kuna wana mara wengine humu waje wathibitishe juu ya hili. mimi sidanganyi, haya mambo yapo kabisa!!
 
kumbe na mimi ningeendelea ningekuwa mlemavu!! jamani hiyo mijitu inapigaaa jamani mikorofi yaani.Hayo uliyoyasema yapo na ukweli kabisa.Hata wakikaa mjini hawachi asili kikao chao cha wakurya waishio dsm wanafanyiaga vingunguti relini hakiwezi kuisha bila kupigana.
Cc Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
mkoa wa mara unaongoza kwa kilimo cha bangi. ata watoto wanaozaliwa ubongo wao si mzuri wanakuwa na jazba na imani za kushangaza.
mpaka waache kilimo cha bangi akili zao zitakuwa sawa
 
mkoa wa mara unaongoza kwa kilimo cha bangi. ata watoto wanaozaliwa ubongo wao si mzuri wanakuwa na jazba na imani za kushangaza.
mpaka waache kilimo cha bangi akili zao zitakuwa sawa

Bange bange bange, inasabisha wake wadundwe...
 
Hata wakikaa mjini hawachi asili kikao chao cha wakurya waishio dsm wanafanyiaga vingunguti relini hakiwezi kuisha bila kupigana.
Cc Mwita Maranya

Bora kupigana ME kwa ME kuliko kupiga jinsia ya kike
 
Last edited by a moderator:
Siamini kama mleta mada ni mkurya kweli kwani lengo lako ni kuelezea ukatili wa baba yako siyo wa wakurya , acheni kuchafua image za watu wengine kwa reference ya baba yako!
.............nyoko

........apigwe tuu na yeye !.......tumechoka !
 
kumbe na mimi ningeendelea ningekuwa mlemavu!! jamani hiyo mijitu inapigaaa jamani mikorofi yaani.Hayo uliyoyasema yapo na ukweli kabisa.Hata wakikaa mjini hawachi asili kikao chao cha wakurya waishio dsm wanafanyiaga vingunguti relini hakiwezi kuisha bila kupigana.
Cc Mwita Maranya

Hahahahaha!!! nimecheka hadi basi, ila huo si ndio uanaume?
 
Last edited by a moderator:
Siamini kama mleta mada ni mkurya kweli kwani lengo lako ni kuelezea ukatili wa baba yako siyo wa wakurya , acheni kuchafua image za watu wengine kwa reference ya baba yako!
.............nyoko

Huyo mleta mada si mkweli,anasema yeye ni mkurya harafu anakuja kuuliza humu jukwaani asili ya wakurya! kwanini asimuulze babake au mamake? kama ni mkurya basi aseme ametokea koo ipi? au labda amaweza akawa ni mkurya lakini akawa anajikweza kutokana na sifa zao za umwamba,ubabe na ukali, hiyo ya kupiga wanawake nitaifungulia thread yake tuijadi vizuri, maana kuna watu humu hawalijui vema kabila la kikurya.
 
Muraa reta panga na bhange tuchome turifundishe hiri jamaa adabu linavujisha siri

Anavujisha siri gani? ina maana wakurya walio wakali wanavuta bangi? Hiyo ya wakurya na bangi mimi siamini, fanya tathmini ya wakurya unawajua harafu uangalie kamd ni wavutaji wa bangi! labda ungesema pombe kidogo ingekuwa afadhari.
 
kumbe na mimi ningeendelea ningekuwa mlemavu!! jamani hiyo mijitu inapigaaa jamani mikorofi yaani.Hayo uliyoyasema yapo na ukweli kabisa.Hata wakikaa mjini hawachi asili kikao chao cha wakurya waishio dsm wanafanyiaga vingunguti relini hakiwezi kuisha bila kupigana.
Cc Mwita Maranya
ni kweli amu, wakurya hawaachagi haka ka system ka kunyoosha wake zao!

nilisikia kali moja kwamba,

mkurya mmoja alichukua dada poa maeneo fulai kwa ajili ya kumpiga mishe! kufika kwake, baada ya kula mzigo, jamaa akamshushia kipigo dada wa watu na pesa hata hakulipwa masikini!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom