Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,087
Asikudanganye mtu kila moja ina nyenzake hata vibamia navyo vina saizi zake na zipo nyingi tu na hata vikionana hutoshana nguvu
Kuna midada imejaaliwa mibumunda lakini vimwili vyao vidogo na kuna wengine wamejaaliwa mishepu lakini vibununda vyao vidogooo utafikiri cha mtoto mdogo na hivyo hivyo kwa wanaume
Kwa hiyo usikurupuke kutafuta dawa utatapeliwa tu ,baki na kibamia chako kinachotakiwa ni ufundi na utundu tu maungoni