Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi
Hiyo, na ndiyo maana inakuanika mno boss! Unaongelea kifo ambacho humchukua hata mtoto mchanga asiye na hata chembe ya dhambi?
 
Uchaguzi huru na wa haki hufanyika kwani kila anayestahili kupiga kura anapiga kwa wakati wake. Kinacholalamikiwa ni uhalali wa matokeo ya kura zilizopigwa.
 
Uchaguzi huru na wa haki hufanyika kwani kila anayestahili kupiga kura anapiga kwa wakati wake. Kinacholalamikiwa ni uhalali wa matokeo ya kura zilizopigwa.
actually,
kila raia ana haki na uhuru wa kulalamika kwa njia za kisheria na kistaarabu, ikiwa kwa definition, mtazamo au maoni yake, dhidi ya uhalali wa matokeo kwamba, hayakutolewa kwa njia halali au ilokua nzuri, bila kuleta usumbufu wala taharuki kwa wengine walioridhika na matokeo hayo πŸ’
 
Haya uliyoandika ndio sababu ya wagombea wa upinzani kuenguliwa bila sababu? Ndio sababu ya watendaji wa tume kukimbia ofisi wasipokee fomu za wagombea wa upinzani? Ndio sababu ya mgambo kuingiza mafurushi ya kura bandia kwenye vituo vya kupigia kura? Ndio sababu ya mawakala wa vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya majukumu yao?
 
Hiyo, na ndiyo maana inakuanika mno boss! Unaongelea kifo ambacho humchukua hata mtoto mchanga asiye na hata chembe ya dhambi?
Ninajuwa nitakufa, ila hiyo sababu ya kukaa kimya kwa uovu wa dikteta Magufuli
 
Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi

Nikitazama hii comment yako, then nikitazama na avatar yako...

Najikuta nakumbuka jinsi Magufuli alivyomchachafya yule askari magereza wa Butimba ambaye ndio huyo kwenye avatar...
 
Huyu mzee tungemchagua yeye angetujengea bwawa la umeme, SGR na kutuletea ndege mpya kutoka viwandani?
 
Huyu mzee ameongea ukweli 100%. Magufuli ni jambazi lililoiba uchaguzi wa 2020 bila soni mchana kweupe kama lilivyotaka kumuua Tundu Lissu mchana kweupe.

Mungu hadhihakiwi. Liko wapi sasa?

Lipo kwenye sgr, bwawa la umeme na ndege
 
Nikitazama hii comment yako, then nikitazama na avatar yako...

Najikuta nakumbuka jinsi Magufuli alivyomchachafya yule askari magereza wa Butimba ambaye ndio huyo kwenye avatar...
Huyo jamaa wa Butimba ni kati ya mashujaa ambao hawakukubali kutishwa na dikteta
 
Wananjaa hao
 
Sijambo la kuhoji...WIZI ulikuwa mkubwa mmno,mawakala upinzani walifukuzwa chumba cha kupigia kura na maelekezo ikawa sio ashinde Bali ashinde Kwa kishindo!!!
 
Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi
Mkuu, jikingine usionekene...Mwenyekiti anayesemwa hapo ni yupi, umejua? Mwenyekiti wa mtaa, kijiji, chama?

Magufuli alihusika kuchagua wenyeviti wapi?

Mlisema Bwawa ni kosa la Magufuli, mnaendelea kuona aibu!
 
Fisiem oyeeee 🀣🀣🀣🀣🀣πŸͺ‘πŸͺ‘πŸͺ‘πŸŽΆπŸ“Œ
 
ccm wawe wanaelewa walau kidogo.
Kwa sasa wananchi wajinga wakudanganywa kama wapo ni wachache mno.
Uovu wao unajulikana na wengi.
Wahenga walisema siku za mwizi ni arobaini tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…